Recent content by Mohamed Bwembwera

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ndani ya gereza la Segerea kuna ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja, kukosekana kwa mahitaji muhimu na msongamano wa watu

    Wewe mwakijemba wa Tanga au, tuliwaambia msikurupuke, Nasari alikuwa NA lake jambo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kama hajapata Mshahara aniandikie barua, acheni kuwafanya wabunge Miungu watu

    Hapa Spika kasema Lissu hakunyinwa mshahara wake wala haukuzuiwa, kama kuna kosa limetokea NA hajapokea mshahara wake, afikize malalamiko yake office husika. Kwa usemi huu wa spika inamaanisha bunge halijasitisha mshahara wa Lissu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

    Mbowe kufanya analysis vizuri sana, kwani huu sio wakati wa kumadhibu Lissu kwa kueka nidhamu za chama kuhusu kugombea. Baada ya kuzisoma mioyo ya wanachama NA sakata la Lowasa kubwaga manyanga, kwanza ni mikakati ya kumtuliza Lissu na kuhakikisha hapongani naye, ila anamtengenezea kula na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Marafiki laki 5 tu wakiamua kumchangia Mh Lissu elfu 2 tu kwa mwezi atakuwa amepata Tsh 1 billion

    Watanzania wanajulikana kuwa ni watu wa ONLY TALK AND NO ACTION. Tokea TL anyimwe haki yake hadi leo, nani kamchangia, kama kweli mna uchungu naye mgefanya kila njia ya kupigania haki zake. 1. Mgeweza kuandamana kutaka uchunguzi wa kesi yake. 2. Munge fanya maandano Mbowe alipokuwa rumande...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Wasijeshindwa NA ushuru
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

    Acha uongo NA kujigamba, kama ungekuwa NA nia nzuri unge enda ufipa NA ingepewa kila njia ya kumfikishia huo mchango.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Kangi Lugola, asema wale walinzi waliondolewa siku ya shambulio wameajiriwa na Serikali, ni nani aliyewatoa?

    Ndugu Salary Slip, ameulizia ukweli wa cctv camera. Hizo zinaweza fungwa hata NA mtu binafsi, nyumbani kwake, NA camera moja akaielekeza kwenye parking. Lissu amezungumzia kamera ya Flat Jirani yake aliyokuwa akiiona akiwa kwenye sittings room yake. Haimaanishi kuwa majengo yote yana cctv, mtu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Damu ya Lissu ilimwagika kuiokoa Tanzania

    Wewe kijana wacha kuutukana umma wa Watanzania, Damu ya MALAYA WA KISIASA haiwezi kumuokoa hata sisimizi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Dereva wa Lissu kuelekeza gari nyumbani badala ya polisi kituoni

    Ndugu endelea kuota ndoto, watu kama wewe hawana tiba. Lissu ni POLITICAL PROSTITUTE, tukio lake huwezi fananisha NA Yesu. Japokuwa Niko naye kwenye madhambi aliyotendewa, which was criminal, lakini nina amini he has been wrongly advised, dereva wangesema yuko tayari Ariel ushahidi hata hapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya Nusu Wajumbe Kamati ya Maadili Kujiuzulu Kabla ya 21/1

    Kkkkkkkkk, very funny
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kibarua cha CAG kuota nyasi

    Professor Asad akifukuzwa kazi, atapata kazi kubwa ya kinataifa baada ya siku 60 tuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Hii tuhuma unaiketa leo kwa sababu ya hii issue yake NA Ndugu. Ilistahili ulete hoja hii alipochaguliwa, ama alipokuwa hakuna tatizo lililoumbuliwa NA spike. Udini na ubaguzi sio mila yetu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Ndege zote zinafanya kazi mbili abiria NA mizigo, ni jambo la kawaida
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bumbuli ni miongoni mwa majimbo masikini Kabisa hapa nchini

    Iwapo ccm imeshindwa , jee Chadema itawezaje kuwaletea maendeleo. Pili yapo maendeleo yanayofanywa kwenye elimu, Hospitali nk
Back
Top Bottom