Yani ni huzuni chief, adhabu ya watu wanaofanya ushirikina ni mbaya mno mungu ametoa angalizo kwa watu hao mala nyingimno kwenye maandiko matakatifu na kilichonifanya ni umie zaidi nikwamba waliofanya hayo ni watu wanaofahamu zaidi izo habari kuliko.
hayo ni mambo ya kichawi sio katika Dini Hakuna pahala katika uislam panaelekeza kusoma dua za namna hiyo Hakuna ni ushirikina na wanaviumbe wao ambao wanawategemea kufanya izo ibada zao ni washirikina na end of the day adhabu yao ni chungu mno😭
Eti, kiukweli nimehuzunika sana…Na kilichoniuma zaidi ni kwamba mimi Hatujuani na nilienda mbali zaidi je? Watu wake wa nyumbani wanahaligani especially (familia yake) 😂
Mkuu nasisitiza Tena Kama wewe sio fogo ( tajiri) au ni fogo (tajiri) Sawa lakini hauko tayari kufanya hii biashara kutokana na majambo yaliyokukuta (pole) plz usihalibu kazi za watu tafadhali mimi ni kijana najitafuta Kama una mapito yako yanayo husiana na hii biashara (nikitukizuri pia...
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.. mimi kijana wenu mitiifu Mohammed nipo dar-es-salaam natafuta gari ya kufanyia biashara ya bolt/uber, kwa upande wangu nimekamilika Niko na kila kitu ambacho driver anatakiwa kuwa nacho ikiwemo platform zote za hii industry
Hivyo basi Kama yupo...
Cogratulation! Kwa wale wote waliofanikiwa kwenye mahusiono yao! upande wa kupata watoto wema wenye kumjua mungu na ukuaje mzuri kwa msaada wa mama wa hao watoto….mmeula.
Lakini ninyi ndg zangu mnaochekelea Mafanikio ya dhahabu na fedha😂! Kwa kuwasifu na kuwatangaza Malikia wenu wa nguvu siku...
Habari,
Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi…
“Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka...
Ni mimi Mohamed wale wote walionitafuta last time, kuhusu kazi ya tax mtandao milango ipo wazi kwa malanyingine tena kama kuna ambaye ana gari yake kwaajili ya biashara…..
basi asisite kunipigia my new number 0711347096 account yangu inashida kidogo that’s why nime reply.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.