Recent content by Moh04

  1. M

    JamiiForums Tanzania King‘amuzi cha Azam Tv

    Naomba kujua bei ya King’amuzi cha Azam tv na dish lake used
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samsung A10

    Kama una Samsung A10 njoo Pm fasta Isiwe na tatzo lolote Price 160k Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naiona historia ikipotea

    Katika hali ya kawaida wengi tunategemea kupata taarifa (informations) za matukio yaliyotokea ndani ya nchi kwa wingi zaidi either social, economic au political lakini kwa hapa bongo ukisema ugoogle utakutana na taarifa chache tofauti na ukubwa wa tukio. Kwa mfano ukijaribu kutafta historia ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Support kubwa mziki wa nje kuliko wa ndani

    Najaribu kuwaza hivi, ni kwamba wasanii Bongo ni wachache sana mpaka wasanii wa nje kupewa promo kubwa kuliko wasanii wa ndani!? By the way, sina tatizo sana na wasanii wa kupewa promo hapa Bongo lakini swali ni je, na sisi huko kwenye nchi za watu tunapewa attention kama tunayowapa? Au kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

    Sehem ya kupata kwa jumla mkuu naomba kujua Hii biashara ni nzuri sana kama eneo unapotaka kuweka kuna biashara pia ni biashara yenye faida ndogo sana lakn kama unaweza kuuza chupi kuanzia dozen tano na kuendelea unapiga ela mm nafanya biashara hii ni mwaka sasa lakn nilipo ni sehem ambyo haina...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

    Yah ni kweli..nataka niwe namuweka mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

    Kama kuna mtu ana uzoefu na biashara ya uuzaji wa nguo za kike za ndani kama vile chupi, sidiria, tight etc naomba anifungue natamani kuijua hii biashara imekua ni biashara nlokua naiwaza siku nyingi lakini sina mwongozo Tafadhali kwa mtu mzoefu naomba mwongozo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemu nayoweza kupata vitenge kwa bei nafuu

    Wanakufanyia mchezo fanya uchunguzi kwnza Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemu nayoweza kupata vitenge kwa bei nafuu

    Shukran mkuu ngoja nifatilie Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemu nayoweza kupata vitenge kwa bei nafuu

    Shukran mkuu ngoja niutafte km ntaupata Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemu nayoweza kupata vitenge kwa bei nafuu

    Utakua umepigwa mkuu tena sometimes zinashuka mpk 15 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemu nayoweza kupata vitenge kwa bei nafuu

    Habari wadau! Bei za vitenge Kariakoo (java) wanauza 16,000/= - 18,000/= sometimes hivi wao watakuwa wanachukuwa kwa shilingi ngapi? Kama kuna mtu mwenye uzoefu naomba anielekeze au hata kama ni kuagiza nje naomba kuelekezwa pia procedures za kufata jinsi ya kuagiza ili atleast nipate kwa bei...
Back
Top Bottom