Recent content by mogulnoise

  1. mogulnoise

    Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

    Ilipotea hope payroll imeanza kusoma
  2. mogulnoise

    GE2025 Masikini Nchi Yangu, Tanzania, Tunakosa Viongozi Wazuri kwa Dhulma!. Waliokatwa kwa Zengwe, Wangegombea as Independent, Wangeshinda!.

    Mzee mwenzangu pole sana najua nafsini kwako jinsi ili lilivyotawala mbali na yote uliyopitia katika maisha na mchango wako katika taifa ili Nikupe moyo liko jipya utaliona kabla ya haya ulioyokuwa ukiyasemea litajitimiliza Keep up my brother punde patapambazuka
  3. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Makonda ni mtu makini sana na ana hofu ya Mungu tuache majungu
  4. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Sio kajamaa sema jemedari Paul Makonda PM mtarajiwa
  5. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Hakuna mlipuko wowote machozi ya mpuliza moto hawawezi zima moto
  6. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Makonda haitaji kupiga kampeni yule tayari ni mpakwa mafuta
  7. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Makonda wa 2021 sio huyu tena Makonda wa sasa ni mtu mwingine kabisa
  8. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Siku zote umekuwa mkahidi ila Makonda ndiye mpakwa mafuta Na atakapo apishwa nafsi yako itasinyaa kama jani la tumbaku
  9. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Makonda ndiye ajaye jiandae kuona kusudi la Bwana
  10. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika. Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana. Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii...
  11. mogulnoise

    KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

    Huwezi kushindana na dola kwa kupayukapayuka siasa sio uwanaharakati CDM kilikuwq chama cha uharakati sana ila Lowasa aliwafunza thatwhy uliona matokeo yake Serekali haswa hizi za kiafrika ukijidai una mdomo sana unapotezwa na hakuna chochote utakachofanya Ok let's say Lisu amepewa kiti then...
  12. mogulnoise

    Wanaotangaza utabiri wa hali ya hewa (TMA) wawe wanatangaza ukweli

    Uko shule ulienda kujifunza kulamba kamasi hali ya bewa ndio nini? Na umri huo hujui kuandika kuchinjwa?
  13. mogulnoise

    TRA kukamata mizogo kwa ajili ya Efd machine ni kuonesha udumavu wa fikra zetu

    Wewe umeona hawana documents mtu katoa risit inamaana hata invoice ipo hao TRA hawaelewi wanatakomalia rushwa Au wewe ni mmoja wao unataka kutakatisha rushwa
  14. mogulnoise

    TRA kukamata mizogo kwa ajili ya Efd machine ni kuonesha udumavu wa fikra zetu

    TRA wamekuwa wezi wa hadharani kwa kisingizio cha kuhakiki risit za EFD wanatumia kigezo hiko kudai rushwa Haswa transpota ndio wanaokamuliwa inajulikana mzigo unalipiwa advance kwa ajili ya kusafirisha ukifikisha mzigo ndio unalipwa balance iliyobaki Mfano kutoka Dar kwenda Arusha tani 30...
Back
Top Bottom