Recent content by mogasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe,kulalamika ughaibuni ni woga na udhaifu mkubwa.Mapambano hapahapa Tanzania

    uwe unasoma na historia nakupa wachache kasome ya Mandela, Samora, Nujoma then uje usema kwanini hao hawakutulia makwao wakati wa harakati.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! Do We Need a System, or Hii ya 1-Man Show inatosha?

    nadhani tatizo lako ni uelewa sio kujibu hoja. Mayala katoa hoja hujajibu hoja bali unamshambulia Mayala. Jibu hoja mkuu. moja, mkiti ya bodi ya tanesco ni mteule wa ikulu, kama alivyokuwa mkiti wa bodi ya TRA. Kwanini msalaba ubebwe na Mramba pekee kama tatizo ni Tanesco? pili katika bodi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    poor Tanzanian dah, lini tutaacha kufikiri kimgando?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

    Hijab haina uhusiano na integrity ya mvaaji. Yeye ni muongo tu, wala dini yake isiingizwa alifanya peke yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Media Release: Stanbic Bank statement on Escrow

    The truth is about the whole process of es of escrow scandal
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lissu, Msigwa, Wenje, Kiwia wafungiwa kuhudhuria Vikao vya Bunge!

    kazi kwelikweli ila tutafika tu tunakotaka kwenda.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejifunza nini kwenye mkutano wenu Temeke

    kwani malengo gani hayajafikiwa!
Back
Top Bottom