Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Habarini za leo wanaJF.
"Kama umemshindwa mkeo ndani ya nyumba, majirani hawawezi kitu".
Mara kadhaa, kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikiwafuatilia sana nyendo zao hawa wapinzani (UKAWA) kwenye harakati zao za ukombozi. Wengi wao wana mioyo ya woga,siyo watu wa mapambano.Mabadiliko hayadaiwi na watu waoga, wanaofyata mpira kwapani na kutokomea.
Strategies nyingi sana za hawa jamaa (UKAWA) hazijengi (poorly constructive) na haziko sustainable kabisa.Huyeyuka haraka sana kama moto wa mabuwa,huchukua miezi kadhaa tu na kupotea.
" Operation Sangara, UKUTA, UKAWA, Kata Funua, Azimio la Tabora, Azimio la Arusha....nk nk".
Mbowe na wenzako wa upinzani (Siyo Lowasa,Sumage, Kingunge),kwanini mnaposhindwa harakati zenu mnapenda sana kukimbilia kushtaki nje ya nchi?Kwann mnatumia mapesa mengi sana kuzurura huko nje kulalamikia mambo ambayo yanatakiwa kupambaniwa hapahapa Tanzania?Huo ni woga na ni udhaifu mkubwa.Hawatawasaidia na hawakuwasidia kamwe!
Mara Ghana, mara Ujerumani, mara Marekani, mara Nigeria (kwa TB Joshua), mara sijui wapi huko...Kwann mnafanya hivyo?Mnakosea sana.
Pambaneni hapahapa bongo.Msikimbilie kwa hao watu wasioweza kubadili matokeo ya Tanzania. Ni nyie pekee ndio mtaweza kupata mnachokitaka.
Mwenye kusikia na asikie.
Asanteni.