Recent content by moe junior

  1. moe junior

    JamiiForums Tanzania Rasmi Tundu Lissu anahutubia Taifa akiwa Gerezani, CCM mmekwisha

    Unajua maana ya ugaid Nadhani hujajua kutofautisha hizi terms mbili; Uhaini (treason) na ugaidi (terrorism) ulichokielezea hapo juu ni ugaidi (terrorism) wakati kesi iliyopo mahakamani ni Uhaini (treason). Una hoja na majibu mazuri sana ila swali lake halijaulizwa au mada yake hapa haipo.
  2. moe junior

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki /frame ya pikipiki Honda trail 110

    Salaam wakuu!! Nina shida ya pikipiki au frame ya pikipiki Honda Trail 110 katika hali yoyote mahala popote ili mradi iwe na kadi na kuwe na usafiri wa kufika DSM
  3. moe junior

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi mko wapi? Watoto wetu wanapigwa kama ng'ombe shule ya Sekondari Ibungiro

    We haupo sawa kichwani (mwendawazimu) suala la fimbo kwa mtoto ni jambo la kitaifa? Jambo la kuweka JF? Toa toto lako hapo peleka shule za Kihindi hawatoi adhabu ya fimbo. Nyie ndo mnatuzalishia mashoga mtaani kwa mambo yenu ya kipuuzi. Uruke ngazi zoooote mpaka ufike huku ili mradi plate namba...
  4. moe junior

    JamiiForums Tanzania Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

    Mkuu nimeshaitafuta sana hii chance ila imekuja muda mbaya daaah. Anyway, next time ntaenda InshaAllah
  5. moe junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

    90% umefeli kuhandle nyumba yako. Unamuogopa au kumpenda mkeo kupitiliza. Anakumudu na atakusumbua. Ukisikia wanaume wote MBWA elewa wenzio tumekubali kuitwa hvo ila mambo yaende
  6. moe junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa atokomea kusikojulikana na mali zote za mumewe pamoja na kiasi cha Shilingi milioni tano

    Sasa dada angu tuweke vitu wapi tunavoenda kazini? Au twende na masofa kazini then jioni turudi nayo?
  7. moe junior

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

    Ninachokumbuka, mama alifuta retantion fee na penalt 2021 na january 2022 nilikuta deni langu limepungua tsh 2.6m ukifananisha na december 2021. Na hiyohiyo 2021 mama alipandisha madaraja watumishi waliokuwa wamenasa bila sababu. Mama Alirudisha Ari na morali ya kazi na kuondoa ile fear muda...
  8. moe junior

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    We kaa huko huko Mpimbwe, ya dar tuachie wenyewe
  9. moe junior

    JamiiForums Tanzania KERO Maduka ya spea za magari yageuka kuwa gereji bubu

    Hoja yako umeidirect NEMC au TRA? Hujatoa ushauri. Suggest nini kifanyike e.g tutumie oil nyeupe, tupunguze vyombo vya moto, tutumie vyombo vya kuchaji etc. Una point nzuri ila ina mapengo mapengo
  10. moe junior

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

    Nitajie fisadi mmoja unayemjua wewe.
  11. moe junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

    Duh! Bro wewe ni mbinafsi na mchoyo kinoma. Mbona kinacholetwa na mume mwenzio mwanao anapewa? Wewe tuma hela tsh 10,000 yako haiwezi kubadili hali za maisha ya familia mzee, mbaya zaidi hiyo hali ni temporary tu kwene maisha, kesho inawezekqna wewe ukashindwa hata hela ya kula. Wekeza wema mzee
  12. moe junior

    JamiiForums Tanzania Hivi mliojenga hapa mjini, mliwezaje? Mna miujiza ama ni wezi?

    Ukifikia hatua ya kuwaza hayo yote ujue unakaribia kuanza ujenzi. Komaa chief, hakuna kisichowezekana. Tumeweza baada ya kujua ni lazima tujenge.
  13. moe junior

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku nilipomuona mwalimu wangu anatoa machozi baada ya kupokea barua ya kufukuzwa kazi!

    HIli la vikundi kazini lijazie jazie nyama.
  14. moe junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

    Unataka uone nini kingine ili ujue kwamba haupendwi? Sasa wewe shupaza shingo, muoe af akupige hayo matukio akiwa mke uone venye inauma.
  15. moe junior

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mvuto juu ya kazi ninayofanya

    Niliajiriwa Mtwara Mikindani, nimekaa 6 bad yrs, mtwara ni moja ya mikoa isiyo rafiki kwa watumishi bt baadae nilipata uhamisho na mambo yanaenda poa sana huku niliko. Komaa huku unaangalia namna ya kutoka au kuwekeza kama ukiiona fursa. Kazi usiache chief, Mungu hayupo kusikiliza kilio chako...
Back
Top Bottom