Recent content by mode2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa jifunze kukaa kimya na kuheshimu ofisi za watu, hili la uvamizi wa JF limekuanika vibaya na kukutengenezea chuki mbaya

    Nilikuwa,namuamini Bw. Msigwa ila nimemuona hamnazo kabisa. Nadhani ndo maana yule jamaa aliwahi kusema hili jahazi linakwenda ila linaonekana kama halina dereva hv! Watu wanajifanyia kila wanachokitaka tuu na namba moja yupo kimya tuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katiba ya ACT inatamka wazi sifa za mtu kugombea Urais kuwa awe anamwezi ndani ya chama Sasa sijui huwa hawasomi Katiba yao au ni uzembe tu

    Kwa hili lililotokea kwa ACT nimepoteza imani na Zito Kabwe. Huyu sasa ni CCM B, kuna mambo mengi nikiyaangalia sikuelewi Zito
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa Yanga baada ya msimu huu kumalizika

    Upo sah Hongera sana Mwananchi Hongera sawa mwananchi. Upo sahihi sana mtu wa mpira wewe. Kwa upande was ushambuliaji, ni kweli Dube bado tunamdai lakini mm namhitaji msimu ujao tena nikiamini bado ana kitu. Tetesi ni kwamba Eng. Hersi keshamalizana na Sowah, mtu ambaye hadi sasa ameweza kuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Japo walisema Yule ni katili huyu wa sasa akidondoka hata nusu ya watu hawa hapati.

    Hakika tumeingia hasarani na inavyoonekana tutaendelea kupoteza kwa miaka mi5 ijayo. Nina hofu sana kama kuna kitakachobaki, miaka mitano ni mingi sana kwahali ilivyo, naona kama hakuna rasilimali itakayobaki. Only ways tumuachie Mungu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

    Yaani we we tumeshajua unatokea team gani, hicho ni kiwewe. Hv matokeo yakiwa sare au Pamba Jiji akishinda utarudi hapa utuambieje?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

    wnawake wa kichina wako.poa sana jamaa atakuwa salama salmini. usifanye hivyo kwa mbogo ulieoa Nzungu wala mwanamke yeyote wa kiafrika, itakuletea shida, hao watu hawaaminiki kabisa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

    Ubaguzi na ubinafsi wa wachanga ndo umetufikisha hapa. we angalia Kimei amekaa CRDB Bank, ss hv bank imejaa wachaga kila kona unadhani ni bank ya familia, na wengine uwezo wao ni mdogo sana ila walijazwa tuu hapo. tatizo kubwa la wachaga ni wabinafsi kupitiliza, mm mwenyewe ni wa humohumo ila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Azerbaijan Airlines iwe somo kwa ATC!

    Mm hata sijakuelewa. Somo lenyewe ni lipi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jose Chamilioni amepatwa na nini aisee?

    Hahaaaa. Vijawa wa 2000 wao wanajua chapati tuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Meneja TANROADS aelezea ulipofikia mchakato wa Ujenzi wa Barabara ya Mbagala Mzinga - Kongowe - Kisemvule

    Pole mkuu. Hiyo ajali kama naikumbuka hv, ilitaka kumtoa mke wangu roho hiyo siku, nakumbuka vifo kadhaa vilitokea ma majeruhi wengi sana maana liligonga gari kadhaa za abiria, hadi leo wife ana kovu la ajali ile. Hakika ktk barabara za mjini hapa zinazogawa mateso kwa wana nchi hii inaongoza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbagala hadi Kongowe ni nyembamba, ina mashimo na inasababisha foleni mara nyingi

    Unazungumzia foleni ya masaa matatu? Utakuwa una bahati sana, sisi tumezoea likiharibika lorry moja tuu linaloelekea upande wowote foleni yake ni masaa4 na kuendelea hadi trafic waje watunusuru
  12. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu

    Wanamjua atawasumbua. Wanatakiwa nao wabuni mbinu mpya za kukabiliana naye. Walishagundua mbinu za Mbowe ndo maana wanamtaka.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    Sitaki kumvinjia heshma Mwkt Mbowe ila ninachokiona mimi kunahitajika mbinu mpya za mapambano ya CCM ukilinganisha kuwa bado CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani kilichopo. Nimefuatilia kwa umakini mkubwa sarakasi za kijinga na kizembe zilizokuwa zinaendelea ktk uandikishaji wa daftari la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

    Unachokisema ni sahihi kabisa na kwa bahati mbaya na sisi wananchi tumekubali kudharauliwa kwa kiasi hiki. Kilichotokea hakikuwa cha kuwaachia vyama vya upinzani pekee kupigania, ilihitajika nguvu ya umma ambayo ni sisi. Kifupi tuu tutahitajika kujilaumu wenyewe maana tumekubali akili ndogo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

    Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa huu utekaji unaoendelea hautokani na police na usalama wa Taifa. Binafsi nina idadi ya kutosha ya wanangu wa karibu na hata wiki iliyopita tuu lilitokea tukio. Wengine tuliwata kutokea vituo nya polisi na kimoja wapo kimetajwa hapo katika huo mzozo kaada...
Back
Top Bottom