Recent content by MoBoy

  1. MoBoy

    Tusimlaumu Rais Magufuli Kwa Kila Kosa, Rais Yeye Hana Kosa Bali Anashauriwa Vibaya!.

    Simchukii JPM kwasababu anachukua maamuzi za kijinga, Simchukii JPM kwasababu hana Ufahamu ya Kutosha kuongoza nchi hii, Yeye ni Binadamu na hivyo vipungufu ni kitu cha kawaida, ILA, Namchukia kwasababu ya Ubishi wake wa kutosikia Wananchi wanasema nini. "KATA, FUNGA, VUNJA" hivyo maneno hawifai...
  2. MoBoy

    Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

    Ha Ha Ha Ha! Ni Nchi pekee ambapo Mali ya Mwizi Inakamatwa, Mwenyewe Hakamatwi hahahahahaha
  3. MoBoy

    Serikali yamfukuza bosi wa UN, aondolewa nchini ndani ya saa 24, adaiwa alikuwa na malengo tofauti

    Huyu Mama alikuwa msema kweli! We will never know what actually happened. Ila nachoweza kusema kwamba kutoka Baba jesca amewakumbatia ma ISRAELI, vitu vya kiajabu ajabu vinafanyika.
  4. MoBoy

    Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    Tatizo ni kama ukiwa na Fikra zako tofauti na Bossi (baba jesca) basi ata ukinya kwa kuchuchuma watakulaumu kwanini usikae na unye! Hii pia inaonyesha ishara mbaya kwamba replacement wote wawili wa Nape (Mwakyembe na Polepole) wanamsema kila wakipata nafasi. bado Bashe watamteeeeeeesa subirini...
  5. MoBoy

    Aeshi Hilaly (Mb-CCM): Nilitishwa na Makonda hadi sasa naogopa kwenda Dar kwa usalama wangu

    Kijana kadogo muhuni ambae ni mtapeli anakuja kua Mkuu wa Mkoa! WHAT THE **** DO YOU EXPECT??? Samahani Sana JPM, lakini huyo Dogo ashakuharibia kila kitu, this will go down in the History!
  6. MoBoy

    Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    Spot On Brother!! Any Body Language Specialist can say Bashite is LYING through his Teeth! Good to know Individuals like you exist who can see the Truth. God Bless you
  7. MoBoy

    Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    Fucking Drama!!! Beware Tanzanians, we are being taken for a fucking Ride!!
  8. MoBoy

    Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

    Bashe ni Mbunge Peke ambae alionya Serikali kwa uhusiano wake na ISRAEL!! Jamani hao Israeli ni Watu Hatari Sana na kuna kitu nimeona huyu JPM anajihusisha sana nao!! Minara za Mawasiliano wanajenga Wao, Vifaa Vya Kisasa Vya Kijeshi wanatuuzia Wao, Nahisi Ile Dili ya NIDA au ID CARD pia walikuwa...
  9. MoBoy

    Kama wanawake wanajiremba kwa ajili yetu wanaume kwanini mnatukataa tukiwatongoza?

    Ujue Roho ya binadamu haina Jinsia yoyote, ni kiumbe tu ambae imebarikiwa na ile Roho na mwongozo wa kuishi kwenye dunia hii wa mda mfupi ishatafsiriwa na ma nabii mbali mbali kutoka Ibrahim mpaka Musa mpaka Solomon mpaka Yesu na kuisha mpaka Muhammad. Kila kiumbe kina sifa zake (haina upungufu...
  10. MoBoy

    Wabunge wa CCM waitaika serikali kutoa majibu sahihi kuhusu utambulisho wa Daudi Bashite

    Nilikuwa nam support JPM all the way, ata udikteta wake poa tu maana yeye sio mwizi kwahiyo kama kunyosha serikali basi udikteta itafaa, LAKINI!!! Hii swala ya ku blanket sakata la Bashite ndio imeniumiza sana, I have lost all hopes on JPM because of this Bashite!
  11. MoBoy

    Karibu Tujadiliane Kuhusu Freedom of Expression in Tanzania. Are We Free To Express Ourselves? .

    The intention of the West has always been to suppress Africa, they do not want Africa to "THINK" The Only Freedom of Expression which they teach us is of our Bodies!! The thongs are becoming smaller and so are the bras too!! But Ideologies are being buried in one way of the other!
  12. MoBoy

    Ushahidi wa wazi kwa uvamizi wa Clouds TV

    Mhmmm! Mie naona Ruge na Bashite hawakujadiliana vizuri juu ya maada ya Niki Minaj kuwa na Tigo bandia au ya ukweli, basi wakabishanaaaa mpaka Bashite akamtishia kumtaja Ruge kwenye orodha na Ruge vilevile akamtishia na kesi ya kuvamiwa! Unaonaje hiyo theory?? hahaha RC anabidi ajue mipaka...
  13. MoBoy

    TRA kupiga mnada nyasi bandia za timu ya Simba kwa kushindwa kulipa kodi

    Zile magari ni mali za watu binafsi ambae Bashite amewatisha kuwataja kwenye Orodha. Ndio alivyosema mchungaji
Back
Top Bottom