juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kikawaida mwanaume anaweza akamuona mwanamke kwa mara ya kwanza na hapohapo akamtamani, mimi huwa inanitokea sana hiyo, unakutana na msichana either mzuri au aliyeumbwa vizuri na ukamtamani hadi unaongea kimoyomoyo(huyu msichana angekuwa ni mwanamke wangu daah!).
Yaani unamtamani hadi unajisemea namna utakavyomgegeda iwapo angekuwa ni mwanamke wako, sasa vipi kwa wanawake na nyie inawatokea kwamba unamuona mwanaume kwa mara ya kwanza na ukamtamani hapohapo?
Yaani unamtamani kiasi kwamba unahisi kama akugegede?