Utangulizi: Demokrasia kama Imani, Sio Ukweli
Katika Tanzania na Afrika kwa ujumla, Demokrasia imegeuzwa kuwa imani ya kisiasa isiyoruhusu kuhojiwa. Ukiongea dhidi yake, unaitwa adui wa maendeleo, dikteta, au mtu anayechukia haki za binadamu. Lakini historia na uhalisia vinaonyesha kuwa...
Ndugu Watanzania,
Katika kipindi hiki ambacho hisia zimepanda, sauti zimegawanyika, na tumaini limeanza kuyumba, tunalazimika kurejea kwenye msingi mmoja unaotufanya tuwe taifa: Amani, utu na busara.
Leo, nchini mwetu zipo sauti nyingi.
Serikali inaona inalinda utulivu.
Wananchi wanaona...
Uchanganuzi wa Kifalsafa, Kihistoria na Pendekezo la Mfumo Mbadala wa Uongozi wa Kiafrika.
SURA YA KWANZA: Asili na Uhalisia wa Demokrasia
1.1 Demokrasia: Dhana ya Kiufanisi au Kiitikadi?
Kihistoria, neno Demokrasia linatokana na maneno ya Kigiriki: demos (watu) na kratos (nguvu/mamlaka)...
Version 1.0
Release Date: September 2025
Authors: BFC Core Team
Website: www.bongoflavorcoin.com (Placeholder)
Contact: info@bongoflavorcoin.com
1. Abstract
In the pulsating heart of Africa's music scene, where rhythms like Bongo Flavor echo the continent's spirit, lies an untapped revolution...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mheshimiwa Rais
Kwa heshima kubwa napenda kukuletea salamu za dhati na kukupongeza kwa dhamana kubwa uliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongoza Taifa hili tukufu. Ni ukweli usiopingika kuwa jukumu hili ni...
Vyama vya Siasa ni kama Vehicle of investment kutoka nje so ushirikiano wao unabase sana kwenye manufaa wanayopata kwa kuwahadaa wananchi lkn kiuhalisia Vyama vya Siasa ni Vyama vya Ulaji
Wananchi tunaaminishwa kubwa Katiba Mpya inaenda kuwa Mkombozi wa Taifa hili ila kwa maoni yangu hii nchi haiwezi kukomboka kwa Katiba Mpya hiyo lakni Kutumai sio kubaya
Shida sio elimu shida ni mfumo wa elimu wa Tanzania hata kama wabunge wa Tanzania wangekuwa ni Maprofessa wote kitendo cha kuwa Mbunge wa CHAMA TAWALA kinatosha kabsa kumfanya kuwa kipofu na kiziwi
“Demokrasia ya Kidikteta” au “Demokrasia ya Maonyesho”—Ni Demokrasia ambapo uchaguzi upo, vyama vya upinzani vipo, lakini mfumo mzima umejaa ishara za kuwa demokrasia ni maigizo tu. Hizi hapa ni ishara zinazoonesha demokrasia ya maigizo kati ya chama tawala na chama cha upinzani wakati wa...
Elimu ina matabaka ya uelewa kwasababu kamwe hatuwezi kuwa sawa kiufahamu mfano elimu za Dini hakuna neno ambalo halina zaidi ya maana moja na uelewa wa Elimu za Dini inategemea na ukaribu wa Msomaji na Mungu au Imani anayoiamini. Kwa Upande wa Vitabu vya maarifa hata vikitafsiriwa pasina...
Toka zamani kulikuwa na Utaratibu wa Tawala kubwa za Kidunia Kutafsiri Maarifa katika Lugha zao ili kukuza maarifa na kuyasambaza kwa Lugha zao mpaka Walatini walivyotafsiri kutoka kwa Waarabu kuja kilatini na kujimlilikisha Maarifa yote mpaka kufikia watu wakiamini Walatini ndio wagunduzi wa...
Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga kuwahadaa wananchi. Zifuatazo ni sababu kwanini viongozi waache tabia hii.
1. Wananchi Wanaanza Kuzinduka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.