Recent content by Mo-sheby

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Baadhi ya Vyama kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais Magufuli hakifai

    Ala msiabaike na machozi ya watu. Wanaolia wengi ni jamii ya wanawake, kumbekeni Julia kwa mwanamke ni Tania yake maana mwanamke Julia akiwa nafuraha, huzuni, akipigwa, ukimkosea etc,,,hivyo Basi watu wengi wanaotoa machozi pale wanaolia wanakua wa ambukizana tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Daaah. Nakumbumbuka mwaka 2012. Nilikuwa natoka Kigoma naenda Arusha Chuo cha uasibu Arusha. Nilipo fika Arusha nilikuwa sijui pakuanzia wala pakuishi. Katika hali ya kuuliza nikaoneshwa nipande daladala za njiro. Kipindi naelekea stand nilikutana na Baba mmoja akaniambia na yeye anaelekea Huko...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua aina ya haya mawe aniambie wadau,na Soko lake liko wapi?

    Oyooiiiiiii. Nitafute kupitia namba hii 0718748500. Nipo kigoma na hayo madini Ni kopa Nina experience na hicho kitu. Ulipo pata kuna mwamba wa hayo mawe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wa wifi yangu amempa mimba dada wa kazi nyumbani kwangu; familia imevurugika

    Ma Beki 3 huwa Ni watam saaaaaaaaaanaaah. Mi napiga sana. Na huwa nawapenda kuliko hata Hawa wana jiita wa mjini. Beki Tatu kwangu huwa katizi na sasa kwangu Ni na Beki 3 na piga like mke mwaka sasa wife haja jua.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Vyungu vya nyuklia kujaribiwa na nime pata taharifa kuwa, vimeanza safari toka Kongo na vita fika kigoma Leo ; mazoezi ya kumshambulia musiba ya tafanywa kwa kushirikiana na wa Ujiji, kasulu, Kibondo, na republic of sumbawanga. Musiba kayakoroga. Watakutumia kimbunga kama cha buyungu, kakonko...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuwa mtumwa wa Mzungu kuliko kuwa mtumwa wa mwafrika

    Hapo nyuma tuliweza kutawaliwa na Mzungu na tulipata faidi kubwa sana, Mzungu aliweza kututengenezea reli ya Kati, tuliweza kuwa na meli, vile tuliwa na elimu bora na kila mwanafunzi aliweza kuongea kingereza. Niliwahi kuongea na Mzee moja aliniambia kuwa enzi za mjerumani tanganyika ilikuwa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani ukiusikia unakukumbusha mbali kwenye mapenzi. Huwa unakukumbusha nini?

    Nenda kamwambie by diamond. Unanikumbusha mbali sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania NSSF na Mafao yakujitoa kuna nini???

    Tatizo sio nssf. Tatizo hizo pesa hazipo hela zote zipo hazina. Na ndio pesa zilizo nunulia ndege, kutengeneza reli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anaandika mgombea wa Chadema jimbo la Buyungu

    Pole sana classmate wngu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Huyo hawezi kupona
Back
Top Bottom