Sure man baada ya ile disc ilibidi nikacheki and niliona FED aliongea hizo mabadiliko,,,, but not only that reaction ya Market na news for real imekuwa booom[emoji91][emoji91][emoji23] ukicheza kuna namna unalia but kuna kitu hiki nimekifatilia mwaka wa tano now,,, News hazibadilishi Direction...