Recent content by mnzese

  1. M

    TLS ni Taasisi isiyo na msaada kwa wananchi, nyumba zetu zinabomolewa Kimara

    Sasa ndugu unalaumu je ulishawah kwenda kuomba msaada wa kisheria kwao na wakakataa?kama mahakama iliweka stop order na bado tunabomolewa we ulitaka wao wafanyeje ikiwa mahakama imeshindwa kuheshimiwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mrembo aikosoa Serikali ya Awamu ya Tano

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Oohh poleni sana ndugu zetu huu ni msiba wetu sote MUNGU wa mbingun awasehe dhambi zao awakinge na moto wa milele amin
  4. M

    Majambazi yenye silaha za moto yapora Sinza Kumekucha, Kijiweni, White Inn

    Wamepita na hapa sinza white inn kuna pub zinaitwa shikamoo na marahaba wamekusanya vyao muhudumu wa marahaba kagoma wakampasua mapokezi kwa chupa pakapasuka....kisha wakapiga moja hewan ya kutuaga aiseee!!!
  5. M

    Nitasema ukweli Daima Fitna kwangu mwiko

    Umepanick bro
  6. M

    Serikali yapokea msaada wa kibajeti Sh. 490 bilioni kutoka Umoja wa Ulaya zitakazotolewa kwa miaka 4

    Tunashukuru waislael kuja tz...maana pia niwatalaamu wa kilimo hasa zabibu na machungwa
  7. M

    Nitasema ukweli Daima Fitna kwangu mwiko

    Mawazo yako sawa kutokana na unavyosema nami nakuunga mkono....lakini hiyo hadithi sio abunuwasi
  8. M

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Tueleze vizuri huu mgomba una sehem nyingi kuna magome na majani yake...kipi unachosema wewe majani au majimaji ya mgome ya mgomba?
  9. M

    Hivi ni kwanini jiji la Dar liitwe mkoa?

    Haya majiji kwa utaratibu wa wenzetu haya majiji huendeshwa au kutawaliwa na nani..mkuu wa mkoa au meya?
  10. M

    Hivi ni kwanini jiji la Dar liitwe mkoa?

    We ndo unatupa shaka maana jiji kama jiji linatakiwa kuongozwa na meya na si mkuu wa mkoa maana huu sio mkoa ni jiji na hii ndo maana inaleta mkanganyiko katika maamuzi au uwajibikaji maana kuna serikali ambayo ni serikali kuu amabyo ni mteule wa mkulu wa kaya na serikal za harmashauli ambazo...
  11. M

    Hivi ni kwanini jiji la Dar liitwe mkoa?

    Habari wana JF, Hivi kwanini jiji la Dar liitwe mkoa na kuongozwa na Mkuu wa Mkoa badala ya meya wa jiji? Je kuna majiji mengine duniani yanaitwa mikoa? N kuelimishwa maana hili swala linanitatiza maana majiji mengi dunia nasikia yanaitwa majiji na kuongozwa na ma Meya wa majiji hayo ni wakuu...
  12. M

    MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole sana ndugu yetu na mwenyezi Mungu atakujaalia wepes inshaAllah ameen
  13. M

    Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Jaman hii ni uhakiki vyeti vya kidato cha 4,6& vya ualimu kwa watumish wa umma.....na sio kama mleta mada alivyosema kidato cha 4&6 kwa waalimu na watumish wa umma tulekibishe hapo Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  14. M

    Nipo tayari kumlipia kodi anayodaiwa Freeman Mbowe na NHC ikiwa atafanya haya!

    Hahahahaha...kampuni inakuwa na wanahisa wengi ila huyu jamaa kamwona mbowe pekee hii inaonesha jinsi gani anavyomtukuza na kumuwaza mbowe katika maisha yake kila panapokucha...kuhusu mikata ya mfanyakazi ma mwajiri huwa siri harusiwi kuiweka adharan kama mfanyakazi hajaridhika na mkataba hawezi...
  15. M

    Tujipongeze kwa vikosi imara na vya nguvu vya jeshi la polisi

    Bro au we ni askar nn?maana cc tunachokiona majambazi wote wanaokamatwa hostory inaonesha waliuwa askar hadi asakar afe ndo unaliona jesh la polisi linaingia front na utasikia wamekamata majambaz lakini kawaida tu huwwzi kusikia zaid ya "uchunguzi unaendelea nawatoa hofu wananch"..hayo ni...
Back
Top Bottom