Recent content by Mnyuke Jr

  1. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Kazi yoyote ya kuajiriwa ni utumwa mkuu Kama nilikuwa Tanzania na sikupata kazi ya kujipatia angalau pesa ya kula,ila nimekuja huku nina uhakika wa kupata pesa kila mwisho wa mwezi na nikapata angalau chochote cha kutuma nyumbani basi ni bora niendelee kuwa mtumwa
  2. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Poa mkuu japokuwa ninazojua mm kuondokea hapa UAE ndio rahisi zaidi kuliko huko Tanzania
  3. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Hizi story za humu ndio ambazo zinawafanya watanzania wengi mpaka sasa waogope hata kutoka kwenda nchi ya karibu kwenda kufanya kazi Kuna sehemu unafika na ukasema ww umetokea Tanzania wanaanza kukushangaa,kwasababu wanajua sisi ni waoga sana wa maisha nje ya nchi yetu Sheria za kazi zipo...
  4. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Bangladesh,Nepal,Uganda,Burundi hizi ndo kazi zao ila sasa hivi mataifa mengi wameanza kuwepo huko pia
  5. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Nakuelewa mkuu hata mimi nilikuwa na mentality kama yako ila maisha yaligeuka na nikawa sina namna,nikaja huku nikapambana na leo hii nashukuru kwa hatua niliyopiga Nikwambie tu ukweli wa hapa hasa UAE Vyeti vya nyumbani kwenu havina msaada wowote,ukifika kwa mara ya kwanza kubali kufanya kazi...
  6. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Yeah ni sahihi kabisa na ndio maana kwenye kazi hizo wamejaa Wa bangladesh,na wanepal kwa africa wamejaa Uganda na Burundi ila kwasasa ndo nimeanza kuona watanzania wapo wanajipambania kwenye kazi hizo
  7. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Hakuna pesa inayotafutwa kiwepesi mkuu Na kiukweli zaidi ni muhimu upate chochote cha kuhudumia familia yako nyumbani
  8. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Hapana kaka mimi nimeishi Dubai kwa mshahara huo na nikikuwa nafanya saving ya laki 4 kwa mwezi Kwa maana ya kwamba nakula laki 2 na natuma nyumbani laki 1 halafu iliyobaki nasave Kwasababu malazi,usafiri na matibabu ni bure na hvyo ndo vitu ambayo vina gharama sana Dubai sio sehemu ya kuja...
  9. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Mtu ambaye atakufanyia utaratibu wote huko Tanzania ni mwajiriwa wa serikali hiyo dhamana tosha pia unaweza kuja na mwanasheria wako kwamba unatoa pesa yako kwa ajili ya safari na ikienda tofauti utahitaji kurudishiwa pesa yako na mikataba ikasainiwa
  10. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Inabidi atupe hiyo connection watu waende kupiga hilo zege wapate 40,000/= kwa mwezi
  11. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Ni sahihi kabisa mkuu,hizi mentality ndo ambazo zinatufanya watanzania wengi kudumaa kwenye ufikiri Tunasahau pia kwenye growth of careers na kupata new opportunities,Dubai ni ardhi ya opportunities Naweza kujitolea mfano mm nwenyewe nilipoingia Dubai miaka 3 iliyopita kwa mshahara wa 900...
  12. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Bongo mshahara wa laki 7 anaupata mwalimu,ila ukiwa mgaigai wa kufanya kazi kwenye sekta binafsi tena unskilled labour huwezi kupata hata mshahara wa laki 4 kwa mwezi
  13. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Kiongozi naona unapiga hesabu za rent za kuishi kwenye apartments ila sehemu za kuishi au kulala hapa UAE zimegawanyika kama ifuatavyo,kuna Bed space ambayo kwa mwezi inaanzia 200aed hadi 1000aed,pia kuna partition hizi zinaanzia 1000aed hadi 2000aed pia kuna chumba kizima hapa unalipa kuanzia...
  14. Mnyuke Jr

    Kazi ya CONSTRUCTION HELPER Abudhabi U.A.E

    Ndio kiongozi,kama una milioni 2 na hauna uhakika wa kuizalisha ni bora usafiri uje ufanye kazi ambayo kila mwezi una uhakika wa kupata dola 300 yako
Back
Top Bottom