Recent content by Mnyerede

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sipatii picha waraka wa TEC wa pasaka utakuwaje

    Nani kakuambia hawana jipya? wangekuwa wanaandamwa hivyo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sipatii picha waraka wa TEC wa pasaka utakuwaje

    Ndugu zangu kutokana na kilichotokea october 29, siupatii picha waraka wakina padri kitima utakuaje aisee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Itilima na ukimya wa ubovu wa Barabara Nanga-Migato

    Wanajamvi huyu Mkurugenzi amekuwa kimya kwa ubovu wa Barabara Nanga-Migato haswa haswa eneo la darajani karibu na kanisa la Roma, eneo hili limekuwa kikwazo kikubwa sana kwetu wafanyabiashara tunaosafirisha Mizigo na mazao gari inaweza kukwama hata kwa siku 2, ajabu ni kuwa Mkurugenzi mbali na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

    Anatakiwa ayasimamie maagizo yake kikamilifu hiyo ndiyo sifa ya kiongozi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

    Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

    WanaJukwaa, Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza. Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu? Haki huinua taifa. Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    When Don Nalimison was at the peek
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Magufuli akiwa wilayani magu ameonyesha kauli za kuwatisha wapiga Kura kuwa wasipomchagua mgombea wa CCM wasijekumlaumu, imefichuka kuwa siri iliyopo nyuma ya pazia ni kwamba anataka apate wabunge wengi iwezekanavyo ili hata pale linapokuja suala la kubadili katiba asalie madarakani kusiwe na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Heavy studying materials available here

    pata material mbalimbali ntakuwa na update
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Itilima! Itilima! this is too much! badilikeni haraka la sivyo muda utawabadilisha!!!

    Hawa wapuuzi hawataki kulipa watu pesa zao
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Itilima! Itilima! this is too much! badilikeni haraka la sivyo muda utawabadilisha!!!

    Aisee mkulu akipita tutawachoma vibaya!
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Itilima! Itilima! this is too much! badilikeni haraka la sivyo muda utawabadilisha!!!

    Wanabodi hakuna jambo lolote linalohusu masuala ya kifedha linalofanyika wilayani Itilima bila kuwa na harufu ya upigaji, tangu watu wamalize uandikishaji hawajapewa fedha yao, ukiwauliza wanakuambia wanasubiri mwongozo toka tamisemi. Aisee oneni aibu basi mbona wilaya nyingine wamepewa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wale mananga wa KWATA tukutane hapa

    kudadeki abdulkadir vemper alikuwa noma yule mshenzi, alikuwa akiamua kuamsha masongi ni noma.
Back
Top Bottom