Recent content by Mnyanyembe

  1. Mnyanyembe

    JamiiForums Tanzania Yupi rahisi kumsamehe akikuudhi?

    Msaada tutani jamani mana demu kukicha nafuma message za wanaume lakini siwezi kumuacha ni kuwa nampenda sana au nimekuwa zuzu
  2. Mnyanyembe

    JamiiForums Tanzania Yupi rahisi kumsamehe akikuudhi?

    Wadau girl wako akicheat au akikuudhi ni yupi rahisi kumsamehe na kurudiana nae. Unaempenda kwa dhati au yule wa geresha
  3. Mnyanyembe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

    Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki
  4. Mnyanyembe

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yapo hapa kweli?

    Mbaya zaidi nina ujauzito wake wa miezi minne na unanisumbua sana, kuna siku kaja kuniona ghafla tumbo likaanza kuniuma. Wala hakujigusa ye yupo busy na simu yake, ni mwanaume gani ana roho ngumu kama paka?
  5. Mnyanyembe

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yapo hapa kweli?

    Nimekutana na huyu mkaka ni miaka sasa, tulipima afya zetu. Siku ya kwanza kungonoka nae hakukuwa na romance kabisa, baada ya hapo hakunitafuta mpaka baada wa wiki mbili. Nimemvumilia mengi sababu nampenda lakini naona mwenzangu hanijali na hajali kabisa hisia zangu, nikiumwa kwake wala sio...
Back
Top Bottom