Recent content by Mnyanyembe wa Mboka

  1. Mnyanyembe wa Mboka

    Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Kwakweli nilishangaa sana na mpaka sasa bado nashangaa kuona Sheikh Ponda na uzalendo wake wote wa kweli alionao aliamua kutimkia ACT 😭😭😭
  2. Mnyanyembe wa Mboka

    Kijana aliyepewa baiskeli ya Rais Samia auawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulikana Manyara

    Wasiojilikana sasa wanaanza kubalance matukio ... basi mtu mmoja mwenye Baisikeli ya kijani kauwawa matangazo meengi (ilisikika sauti ya Raisi wa Malawi akilihutubia Taifa) Ila kama wanabalance sasa sio mbaya wataanza kufuatiliwa tutawajua sasa soon
  3. Mnyanyembe wa Mboka

    Bado na yule mwenye jina la NJAA HAYUMO?

    🤣🤣🤣 ... bado anatafuta chakula akishiba atakuja na utamsikia
  4. Mnyanyembe wa Mboka

    Imani ya Utawala kwa Mtiririko wa Tabia za Namba

    Namba haziongopi mgawanyo wa namba kwa Taifa letu bado naona umkwamia kwenye aidha awamu ya 6 au sijui ya 5 vyotevyote utakavyoita ila ni Mama Vs Lissu nani alitegemea hili!!!??? Be prepared yajayo yanatisha sana omba usikutanenayo
  5. Mnyanyembe wa Mboka

    PreGE2025 Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?

    Ni pattern hizohizo tu 2026 labda kutakua na pattern spot ileile ya Bendera nusu mlingoti baada ya kuandaa taarifa halafu CDF ataingilia kati kwamba Muha aendelee sasa itategemea na yeye akileta yaleyale mambo yake ya Kigoma kama yalivyokuwa yale ya Mwanza na baadae yakaja yale ya Zanzibar basi...
  6. Mnyanyembe wa Mboka

    Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Sasa Bro. Unakuwaje mwanasiasa wa mwaka 2024 ikiwa hujui hip hop ni nini ilitokea wapi kwanini na inaenda wapi Achana na huko mbelembele kwa kina Senti Hamsini ivi leo hii umesahau Nay wa Mitego amefungiwa mziki mara kadhaa Roma mkatoliki yuko wapi sasa unaachaje kujua hayo na content zake...
  7. Mnyanyembe wa Mboka

    ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    Hivi kumbe kumfariji binadamu mwenzio kunategemea wakati na cheo cha mtu [emoji15][emoji15][emoji15]!!! CCM mlipofikia hata shetani anawashangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Mnyanyembe wa Mboka

    Unaujua Mkataba wa Mwitongo? Mkataba wa siri kuhakikisha Kizazi cha watawala hakipotei

    Mh! Kiukweli mwanzo nlikua naelewa vizuri na kushawishika kabisa na maelezo yako kuhusu uwepo wa huu mkataba wa mwitongo, ila tatizo ni hii paragraph ya mwisho kabisa hapo ulipotolea mfano wa familia ya Nyerere story nzima naona kama IMEJIKONTRADIKTI
  9. Mnyanyembe wa Mboka

    Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Mazombiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wakati naskia aibu kujinadi mi ni muislam kutoka Tanzania coz ni vilaza hajui lolote wapowapo tu hovyo kabisa
  10. Mnyanyembe wa Mboka

    Picha Adimu za Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    "Ni bahati mbaya sana kuwa huijui historia ya Mwalimu na yeye mwenyewe hakupenda historia yake ifahamike " Nikweli hili limeleta shida sana kwakuwa Mwl. Nyerere halupenda historian yake ifahike
  11. Mnyanyembe wa Mboka

    Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

    Hivi hii aacount huwa inadukuliwa au muhusika kuna wakati zinarudi zinakaa sawa au? Huwa simuelewi kabisaaa japo najua ni CCM
Back
Top Bottom