Based on colour.
Zipo nyeupe, ipo silver , kuna moja ipo kama reddish brown.
Kama sijakosea bei ya aluminium rangi nyeupe huwa juu kidogo ya rangi nyingine hizo.
Based on aluminium bar designing style.
Kuna bars za kawaida hizi za kawaida mostly zinatumika kwenye nyumba zetu hizi (bei ya hali...
Kwa logic ya kawaida kabisa kutumia slab itakuwa gharama zaidi ya kupauwa kwa bati.
Reason.
Ili slab iwe safe itahijati nguzo (columns) kwa ajili ya kusuport na kusafirisha mzigo kwenda kwenye stable strata ardhini. (Hapa itacost extra materials kama zege, nondo, mbao za formwork n.k)
Pia...
Mtoa mada hataki kuongea na nyie ambao hamna maghorofa.. 😁 panapo majaaliwa si kitambo kirefu, mimi pia naanza ujenzi wa ghorofa yangu, uzuri ni kwamba site engineer ni mimi mwenyewe, nina degree ya civil engineering, ramani nimekwishachora (both architectural and structural).
Najaribu kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.