Asante sana Amani kwa elimu nzuri japo ilianza kitambo naami kwangu ni muda muafaka.Na itanifaa sana kwa sasa.
Nauliza ktk ujengaji wa banda lipi ni sahihi kuziba pande zote kwa usawa wa tumbo langu na sehemu zote za juu kuacha wazi. Namaama kuzungusha nyavu tu juu.Au kuziba kote na kuacha...
Nashukuru sana kichwa mbovu na wadau wote kwa michango yenu mizuri nimeipitia yote na nimeelimika vya kutosha.Nimehamasika na najua kupitia ufugaji wa kuku nitajikwamua kimaisha. Kichwa mbove na wazo la kufuga kuku wa kienyeji (wa nyama) kulingana na elimu niliyoipata nimeona chotara watanifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.