Recent content by mnyalu makoga

  1. M

    Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

    Wamekuwa wezi maana sijawai ona unanunua kifurushi harafu wanakupangia matumizi kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

    Tatizo wanatuibia maana haitakiwi nikinunua kifurushi kiwe na kikomo inatakiwa kiishe pale mm nitakapo tumia unanunua kifurishi hujatumia eti wanasema kimeisha au kimexpery wanatunyonya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

    Kwa kweli Mungu awaingilie kati vijana wa taifa la kesho Arusha nguvu kazi inapungua Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

    Kweli kabiza hizo bidhaa ni halamu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

    Tuache kuamini imani potofu
Back
Top Bottom