Kuna Kijana alishauri kama Tanzania kuna Chama cha Walimu, sijui Chama cha Madaktari, sijui Chama cha Wanasheria na vigezo na Masharti vinazingatiwa kwa member wa hivyo vyama
Mfano kama Mwanafunzi awezi kujiunga chama cha Walimu au Engineer awezi jiunga chama cha Wanasheria kama hana vigezo...
ni ushauri kama mtanzania ninayeona haina haja ya vyama vya upande wa pili kuwa vyama pinzani na sio vyama vya siasa kama kuna kuhitaji kujenga wakubali kukaa upya na wawarudishe wale wanaowaita covid 19 alf waangalie yupi atafaa kuwekwa tena mwamamke ili waone kuwa sio rahisi kuongoza nchi
Ushauri wangu kwa CHADEMA hamna anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kati ya hao wawili kwa sababu zifuatazo ambazo zote zinanufaisha chama cha dolla
1.)Mmoja ni mropokaji hajui eneo lake kwa kiswahili kizuri anatumwa na hisia na sio rational atakiingiza chama kwenye chaos na kitakuwa hakina...
1. Less talent are in high position(ikimaanisha watu wenye uwezo mdogo wa kuwaza mambo makubwa kwa ushirikiano ndo wameshikilia nafasi nyeti)
2. Those who contribute a little are given a higher reward( ikimaanisha watu wanafanya kidogo ila wanataka waonekane kuwa bila wao tusingefika kokote ila...
kama iyo kazi imepatikana kutokana na ufanyaji kazi wangu bora kwenye kampuni yako nitaangalia kama naweza kuifanya iyo kampuni mpya kuwa bora kama hii ninayoiacha
As they say "trust the path you choose it will protect you" small semi processing industries(SSPIs) as small and many industries that are specialized to convert intermidiate product in usefull final product example is when you process crude sunflower oil into finished quality refined sunflower...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.