KATIBA NA SHERIA YA UCHAGUZI zalilia marekebisho mengi!
Tangia chaguzi za mfumo wa vyama vingi vya siasa 1995 hatujawahi kuwa na chaguzi huru na haki!
Wapigakura hutimiza wajibu wao lakini sheria hazitimizi wajibu wake.
Maeneo yafuatayo yanalilia marekebisho :-
Tume ya uchaguzi...

Tume ya uchaguzi isiongozwe na...

Tume ya uchaguzi isiongozwe...
Lowasa ni CCM damu. Aliwahadaa wapigakura wamuachie yeye usimamizi wa majumuisho ya kura na vijana wake walitekwa na Kova hakuwa na plan B.
Alipaswa awaambie wote wawe wasimamizi na wapige picha fomu zote za vituo vyao walivyopiga kura na kurusha kwenye mitandao wakitaja jina la kituo, lipo...
Kuna hii kesi ya wanaharakati mahakamani labda waifuta sheria hii ya kukasimu madaraka ya NEC kwa Rais kupitia uwakala wa serikali za mitaa ila hadi iamuliwe na mapingamizi na rufani zote zisikilizwe na kuamuliwa utakuta 2020 imepita na hawa wababe wametesa tena na sasa wanajigamba wao ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.