Recent content by Mnoko

  1. M

    Suzane Mungy Mwana Mtandao?

    Chuma Swali lako ni ni very pertinent. Kabla sija comment ningependa kujua hivi Tido amestaafu kwa umri au ameacha kazi BBC? Kama hakustaafu kwa umri basi swali lako linaumiza kichwa. Wenye data nyie mnaoishi UK tusaidieni.
  2. M

    Suzane Mungy Mwana Mtandao?

    Kilitime Pole ndugu yangu.Inaelekea hujui reality za bongo. Watu mnakuja juu baada ya kuguswa Wagala? Leo mnajidai kuw mnahukia udini? Kama si unafiki ni nini? JF anatawaliwa na hoja. Nataka nipingwe kwa nguvu ya hoja. Je wakurugenzi aliowaajiri Tido si wakristo? Kuna mtu kataja...
  3. M

    Suzane Mungy Mwana Mtandao?

    FD Wagala ni wakristo. Yaani wale wakurugenzi wote aliowajaza Tido pale TUT. Mambo ya Tido yanatia kichefuchefu. Hivi JK hayaoni? Ugala, ajira za ugawaji wa sambusa Tido, enough of it pleaseeeeeeee!!!!!!!
  4. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    Ninavyomjua mimi Amina ni kijana mzuri. Lakini all said, dini zote zinafundisha kuzungumza mazuri ya wafu wetu. Lets do justice to Amina. Mwacheni apumzike kwa amani. Mbona mna haraka na kiherehere? Si wote tunakwenda aliko Amina? Tutakutana nae huko na mwenye maswali atamuuliza! Au...
  5. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    I meant YANGU macho
  6. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    Ynagu macho
  7. M

    Suzane Mungy Mwana Mtandao?

    Mgagagigikoko hodi hodi You are mistaken. Tido haajiri kwa chupi/sambusa. Nasikia Tido Mhando mdini wa kutupwa. Alipokuwa bbc kaajiri wagala wenziwe na sasa yupo tut anaajiri wagala tu. mkurugenzi wa habari mgala, mkurugenzi wa radio mkiristo, mkurugenzi wa tv mkiristo! Kweli nchi itakwenda?
Back
Top Bottom