Recent content by Mnjeja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

    naona umekurupuka usingizini hata hvyo mzee wa kuvuruga umechelewa na tunakupuuza kama ifuatavyo,,,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

    hii miaka 10 ni hasara kubwa sana kwa taifa hili,,,Mungu atunusuru
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Tibaijuka ni lazima ajiuzulu sasa au aondolewe na Mh. Rais

    mama amepotoka huyu,,,hizo shule anasomesha watoto yatima au wamatajiri?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

    mchukue tu kimwishomwisho huo mgao wenu mana siku zenu znahesabika mafisadi na watetea matumbo kama ninyi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Dr. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mkuu TPDC

    Hahahahaaaaaa,,,,mkuu ulikataa ulaji au uliogopa kutumika mana ungekuwa wakala wa kidumu,,,ukiwapa airtime ukawa wilayani kwako lazma Ghasia akushukie
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amemteua Bwana Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais Nyaraka

    naona mwisho wa mwaka huu anateua tu watu fulu kusherehekea sikukuu na vyeo,,,lol
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Dr. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mkuu TPDC

    kwa staili hii nauogopa uraisi mana anateua kila taasisi hadi idara,,,juz tu nmeskia mpaka mratibu taaluma chuo gan sijui,,,ndo mana anasahau mambo ya msingi ya kitaifa na kesho utaskia kateua wakuu wa wilaya,, wakurugenzi n.k
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Dr. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mkuu TPDC

    Hawajakutana barabarani,,,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Dr. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mkuu TPDC

    KARIBU tena Tanzania ila siasa huku hazifai uwe makini mtaalamu,,,nafasi ya huko niachie mm na kasatifiketi changu cha madini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viroja uchaguzi wa serikali za mitaa!

    Hahahahahaaaaaaa,,,,,sipati picha mwakani wabunge wengi magamba watavyodondoka kwa pressure
  11. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Matokeo ya JKT

    daahhh,,,
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge imepata ajali Rungwe mkoani Mbeya

    Mungu awaponye haraka
Back
Top Bottom