Ndugu yangu Incharge umeongea vizuri sana lakini wapinzani nguvu yao ipo kwenye kuungwa mkono na wananchi si kuongea tu majukwaani halafu tukawaacha, kazi wafanyayo wapinzani ni kubwa sana, ukizingatia hawana serikali wala lungu lolote. tuwaunge mkono kwa nguvu kubwa. Hawa Maccm wanatafuta...
Hawa jamaa wanajua wanachokifanya na wamejipanga wako tayari kuizamisha nchi kwenye tope lakini wavuruge mchakato wa Katiba. Sitta kawaita mezani wakayamalize kwa mtindo upi? Kwani hakuyaona hayo toka mwanzo na kuyakemea ambayo CCM wenzake waliyokuwa wanafanya? Wote walipanga wamtukane Mzee wa...
Candid Scope;
Bwana Candid Scope wewe ni mmoja wa watanzania wachache ambao hawajui kilichoenda kufanywa na bunge la katiba. Watu hawakwenda pale kujadili rasimu ya CCM au ya serikali 2 walikwenda kujadili rasimu ya wananchi ambayo ilipelekwa pale na tume ya Jaji Warioba na rasimu hiyo ina mambo...
FaizaFoxy na Lunge Makusanya, Inaonekana hamuijui historia ya Warioba either kwa sababu ya utoto wenu au hata kama ni watoro basi walau mngesoma hata historia ya nchi kuwa serikali ziliongozwa na watu gani. Mzee wa watu amefanya kazi kubwa kuitumikia nchi hii katika nyadhifa mbalimbali na mpaka...
Mnajua mmechindwa CCM ndio maana kila siku mnaenda kituo cha polisi kati hapo iringa kuomba msaada, hao polisi sio kwamba wanawapenda ni amri tu, ipo siku mtageukwa hamtaamini. Tatizo lenu hamsomi alama za nyakati.
"TUMEPANGA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUSHAWISHI WATANZANIA KUMUUNGA MKONO MAKAMBA IWAPO ATAAFIKI KUWANIA NASAFI HIYO YA URAIS KWENYE UCHAGUZI MKUU UJAO". Binafsi nilishituka sana nilipoisoma hii habari kwenye gazeti la Mwanachi la tarehe 19 augosti.
Ninachojua mimi hata msomi wa sayansi yoyote...
ZeMarcopolo una maisha mazuri kiasi gani huku nchi yako ikiliwa na wachache na ikiuzwa kwa wageni au mwenzetu ni mmoja wa wanaofaidi jasho la watanzania walio wengi bila kuonea huruma watanzania wenzio? Acha U-CCM tetea taifa lako, hivi huoni aibu?
Mngoni wa kusini.
hata mimi ponda simpendi kwa sababu ya udini wake kwa kuwagawa watanzania ila kwa issue ya kupigwa risasi sijaipenda kwani polisi wataua watanzania wote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.