Kama form 6 unanunua jumla kwa elfu 10 tshirt 20, ambapo ni sawa na 200000. Wewe unauza nguo hyo 15 na kupata faida ya 100,000 kwenye nguo 20. Unatoa na elfu 10 ya kutuma kipasel unabaki na 90 na mtaji wako bado upo palepale wa laki mbili so unakuwa na 290,000.
kitua cha polisi msimbaz si unapajua kama ukitokea kariakoo huku...mbele kidogo mkono wa kulia c kuna sheli Bigbon sasa...sasa hapo achana na hyo sheli kulia upande wa kushoto kwako kama unatokea karkoo ukiuliza tu hapo wanakuonesha duka lipo kwa ndani kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.