Recent content by MNGONI ORG

  1. MNGONI ORG

    Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA NEW HABARI (2006) LTD WATOA SIKU 14 KWA MFANYABIASHARA ROSTAM AZIZ KULIPA MAFAO YAO Na Andrew Chale, Dar es Salaam. WAFANYAKAZI zaidi ya 200, Waliokuwa wakifanyakazi katika kampuni ya New Habari (2006) Ltd, wametoa siku 14 kwa Mmiliki wa Kampuni hiyo, Mfanyabiashara...
  2. MNGONI ORG

    Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
  3. MNGONI ORG

    Ummy Mwalimu na Magufuli awamu ya Tano imeua sekta ya afya mmebaki kuzindua majengo yasiyo na vifaa, wataalam, wala madawa. Mnaua wananchi

    Kama huna fact uliza. Nchi kwa sasa imepiga hatua kubwa sana na Maboresho Sekta ya Afya imechangia Tanzania kuwa na watalaam wengi na vifaa vya kutosha. Uliza kifaa gani na watalaam wangapi upewe na takwimu. Pia; Dawa zipo kwa vituoni zipo kwa asilimia 80 na wagonjwa wa msamaha wanaendelea...
Back
Top Bottom