Recent content by MNFUMAKOLE

  1. M

    JamiiForums Tanzania WAACHE — Ishi Maisha Yako

    Shumbi katika ubora wake!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Sasa kama tayari wewe umeshagundua kuwa Jamaa Hana akili, basi we Baki na ukweli wako!! Maana umekuja hapa tayari ukiwa na hukumu yako!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania MWENYE DAWA YA JINO

    Tafuta Kavicks ka kihindi, kanaitwa Relax kana picha ya mwanaume wa Kihindi. Paka kwenye jino linalouma.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva nchi nzima: hii si dalili njema kwa serikali!

    Mapolisi ( mali ya ccm) msitishe watu kwa kutoa matamko!! Nendeni mkatoe matamko Lumumba.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva nchi nzima: hii si dalili njema kwa serikali!

    **** Nina zao!! Iko wapi Intelijensia Yao!? Amza aliwasumbua zaidi ya masaa matatu akiwa peke yake!! Ifike muda wajikosoe wao sio malaika.
  6. M

    JamiiForums Tanzania DP WORLD kunyang'anywa Bandari, Wananchi Wakata rufaa Mahakamani kupinga Mkataba wake, Kesi kuanza mara moja

    Tatizo watanzania tumezidi sana unafiki!! Tunaona kama vile yanayoendelea hayatuhusu kwakuwa hatujaguswa!! Tuamke sote, tumfukuze mkoloni mweusi ccm na Samia , si unaona wanavyotudharau!!??
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliosoma sheria ni wengi sana ila tunajua Sheria ni mimi na Tundu Lissu by Chenge

    Hakuwa Masaju, alikuwa Fedric Welema.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Huoni hata aibu kutabasamu!! Kweli maccm ni mashetani!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    We mama jutoe hapo unazalilisha familia yako!! Una njaa Gani ya kubaki ccm!?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtu ameshasema anastaafu siasa sasa huo uanachama wa kazi gani? Kuachwa kunauma nyie acheni tu

    Samia ni mjinga na mwenye kuongozwa na mihemuko!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM Dkt Asha - Rose Migiro azungumza na waandishi wa Habari - Agosti 26, 2026

    Wasomi wengi hawki huru ! Ni mateka !
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM Dkt Asha - Rose Migiro azungumza na waandishi wa Habari - Agosti 26, 2026

    Ccm acheni kutubeba ufala!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Karibu kunapambazuka!
Back
Top Bottom