Recent content by mnepha

  1. mnepha

    Nini maana ya Allah? Je, huyo Allah ni nani?

    KUNA KITU ULITAKA KUJUA LAKINI UMEOGOPA KUJUA. MWANZISHA MAADA KACOPY ALIVYOMEZESHWA MADRASA, LAKINI AKATUELEZA ANACHOKIAMINI. NITAELEZA MAANA HALISI NA HISTORIA YA NENO, YAHWEH, ALLAT NA ALLAH KIMAPANA NA KIMAPOKEO YA WAJINGA WA MACCA
  2. mnepha

    Hivi asili ya Wameru wa Tanzania ni wapi?

    waMeru ni wa Bantu kati ya kabila la kichagga, ni WAKANAANI waliohamia eneo wanaloishi leo kuzunguka mlima Meru, Hawa ni kundi mojawapo la kibantu lilohama kutoka eneo la Levant (syria, lebanon, palestine, israel na Jordan) miaka 1000 B.C. kutokana na uvamizi wa makabila ya wamesodonia...
  3. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    we ndio sumbukuku kweli. hata huelewi chochote juu ya Bill Gates, huyu sio programmer ever, muulize Bill Gates kuwa Paul Allen alikua nani katika Microsoft? Microsoft Company ilikuzwa na programmer anaitwa Paul Allen ambae alitoka kampuni ya IBM na kwenda kumnyanyua Bill. Acha kurukia gari kwa...
  4. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Kuna kitu kinaitwa Continental drifting, ambako mwanzo hapakuwa na kitu kilichoitwa mabara, sehemu kubwa ya dunia ilikuwa imeunganga (pangaea). kukatokea na sehemu fulani za ardhi kupasuka na kuwachana. Wataalamu wamesema kuwa KIPANDE PEKEE CHA ARDHI LEO TUNAYOITA AFRIKA (KAMA BARA) NDILO...
  5. mnepha

    Tundu Lissu, Lazaro Nyalandu, Nape Nnauye na Singida yaongoza sauti za kudai haki

    Nape sio mmakonde, ni Mnyakyusa, ni mtoto wa Professor Mark Mwandosya. Moses Mnauye alipewa kumlea kwa sababu ya Ndoa ya Mark Isivunjike. Period!!!! Angalieni jinsi anavyofanana na Professor
  6. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Kaka hapa umeleta maada mzito na yenye maudhui mapana sana sii tu kwa jamii zile za kale pia hata hizi jamii za siku hizi bado wanalia njaa, na Wiki mbili zilizopita nilikuwa Manyara nikimaanisha pale babati, nikaelekea mbulu na ziara yangu ikaishia kata ya Haydom nikarudi Dar. THE WORLD KNOWS...
  7. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Kaka mbona unajiwekea shield? kulikoni? who are Negros? who are Bantus? Hawa ni watu wamoja kwa bloodline. Y-DNA YA Negroes ni E1B1A na ndio Y-DNA ya Bantus. Wazungu ndio huleta confusion miongoni mwetu kwa malengo ya kututenganisha kuwa sisi sio wamoja, WE ALL THE SAME PEOPLE WITH DIFFERENT...
  8. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Ni kweli ulichosema kuwa Tuareg hawana damu ya Bantu. Lakini kumbuka ni ngumu sana hawa watu yaani Hamites na Shemites kuwatenganisha, maana tangu kale waliowana na kuingiliana mara kwa mara. Hata shemites waliowa wanawake wakanaani ambao walikuwa Hamites ingawaje twafahamu kuna distinction kati...
  9. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Nadhani wewe ndio usio na ufahamu na hawa watu leo unaowaita Bantu. Zamani za Kale hawa hawakuwa wanajulikana kama wabantu. Wabantu ni WAISRAELI walioandikwa kwenye bibilia ambao wengi waliwaita WASHEMU (SHEMITE) A.K.A NEGROES. Asili ya neno Bantu ni muunganiko wa maneno mawili kati ya BA na...
  10. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Hizi ni hadaa, zakutaka kuitoa Israeli kuwa sio Afrika, elewa. Ukiangalia mifano ninayokupa, sipendi picha za kwenye Google. naelewa mbinu na mifumo hatarishi ya upotofu ndani ya Engine ya Google. Napenda kukuonyesha live discussion na Documentary naipuka michoro. Tafadhali Ndg naomba tazama hii...
  11. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Ndg, hawa Tuareg kwanza ni waafrika tena weusi ti na ni jamii ya BERBERS wa Mauritania, Algeria, Morocco na West Sahara. Makabila haya yalifika Timbuktu karne ya 14, na hawa ndio waliokuja kuiangusha Timbuktu kwa kushirikiana na Moors (Israelites of Islamic Faith). Hawa Moors, ambao waling'olewa...
  12. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Ndg naona walimu wako walikua wale waliokariri kisha wakaja kukufundisha. Nakuelewa unajaribu kuchanganya historia ya watu wa kale kupitia biblia (HAM, SHAM NA YAFET OR HAMITES, SHEMITES (SEMITES) AND YAFETH kama watoto wa Nuhu (Patriarch Linage). Afrika kuna aina 3 ama 4 za WATU. Hunter and...
  13. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Kuna kitu nikusahihishe hapo chini MISRI IKO AFRIKA. Nashangaa watu wengi huwa hawaelewi kuwa Misri ni Afrika kama ilivyo Ye-men, Oman, Iraq, Syria, Jordan, Saudia, Palestina na Israel. hizi zote ni nchi zilizopo Afrika Kwakua zipo juu ya African tectonic plate a.k.a msingi wa bara letu
  14. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    Sababu zipo nyingi sana. kwanza sii kweli kwamba baada ya Nubia na Egypt kuanguka, mababu zetu walisambaa dunia mzima. ila hapa naomba nikueleze kwa kifupi kuhusu bantu expansion and immigration. kumbuka Hadi kufikia karne ya 14 AD (mwaka 1365 AD) Bantu ancestors waliokashuka chini ya jangwa la...
  15. mnepha

    Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

    uthibitisho ndio huo niliokupa kwa ushahidi tosha. ila naona hoja zako zinatofautiana na maada ilioko. sasa sifahamu mjadala wetu unasimamia wapi ili tuende sawa. nilichojadili na kuonyesha ushahidi ni kwamba, Elimu, Ugunduzi wa kale, Sayansi, Serikali, sheria, madawa ya magonjwa mbalimbali...
Back
Top Bottom