Recent content by Mndundu

  1. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

    Hawa jamaa pamoja na Dar Young Mob, Kwanza Unit na Mawingu walitesa sana mika ya 93/94
  2. Mndundu

    JamiiForums Tanzania 1960s: Kisa cha Balozi Malaya wa Ufaransa na Majasusi wa Kike wa Russia (Femme Fatales)

    Basi karibu huku Lyamkena upate ulanzi mtogwa
  3. Mndundu

    JamiiForums Tanzania 1960s: Kisa cha Balozi Malaya wa Ufaransa na Majasusi wa Kike wa Russia (Femme Fatales)

    Makambako tumejaa wabena, wikinga na wapangwa...wahehe wote tumewapeleka mafinga
  4. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

    Watu tulijaa Jamuhuri kumshuhudia Mandela aipokuja kutembea baada ya kutoka jela....
  5. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

    Hahaha umenikumbusha gesti ya mama zanivina... Kweli ujana maji ya moto.... Enzi hizo mashindank ya baiskeli yanaanzia round about ya boma road..
  6. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Majjizo kuzaa na Salma Msangi

    Gonjwa hili limezua kizazaa...
  7. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Jiti na wimbo wake ndoto tata?

    "Ilikuwa ni saa kumi kasorobo robo sheih Mbwana eeh bwana alikuwa jupo msikitini......"
  8. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Tupia combination ya wasanii Uliyoikubali Bongo Flava enzi za 2000-2008

    Umenikumbsha mbali.....
  9. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

    Msela ya kwanza unayoizungumzia ni kundi la Mawingu lakina Othman Njaidi, Msela ya pili ni ya Wateule, harafu kuna ile walifanya wachuja nafaka ft Ngwea. Huo mstari nimeusahau hata nyimbo siikumbuki vizuri....
  10. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

    Kwanza imeanza mwaka 1990, diplomats wamekuja baadae kidogo. We unayewajua diplomats tupe historia
  11. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

    Kwanza Unit sidhani kama walishindana na Diplomats, diplomats wamekuja baade nadhani hata Nigger One alikuwa ameshafariki. Kunawatoto walikuwa wanaitwa Dar Young Mob nao walikuwepo mwanzoni mwanzoni mwa miaka ya 90
  12. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Harmorapa unikome

    Huyo ndio Harmorapa kiboko ya mabishoooo
  13. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Harmorapa Fans' Special Thread...

    Kiroboto na majani wenyewe wamemkubali...
  14. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

    Harmorapa yupo juu sana
  15. Mndundu

    JamiiForums Tanzania Darassa: Nyimbo zangu za ujumbe zilibuma

Back
Top Bottom