Recent content by mndengereko H.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

    haya ndiyo mambo ya kuongea si malumbano na kushabikia waasi!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kushabikia CCM kunahitaji moyo wa chuma

    Hela na nguvu ya dola inaongea si sanduku la kura. Aliowachakachua ndani ya chama kawapoza kiaina kwa fedha ndefu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chalinze: Ushindani ni kati ya chadema na nguvu za pesa na ubabe

    Hivi unaakili wewe au FYATU? Hili ni kabila.. Kama umejipachika ID nyingine huo ni wehu. Wengine makabila yetu tunajivunia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chalinze: Ushindani ni kati ya chadema na nguvu za pesa na ubabe

    Hivi huwezi kubuni location nyingine mpaka utumie ya wengine?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangalla anusurika kuuawa kwa kupigwa risasi Nzega

    NILIDHANI HAYA YAMEMPATA MWIGULU!... Pole sana mbunge wetu!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Mmmmh! na wewe ni wa wapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chalinze: Ushindani ni kati ya chadema na nguvu za pesa na ubabe

    Huu ni wakati muafaka kwa wanahabari na wana JF kufika kwenye eneo la tukio na kuthibitisha ubabe unaotishia amani na usalama wa nchi... RUSHWA MIONO: Mafuta ya kupikia litre moja na mchele uligawanywa kwa wakazi miono na "wanafamilia" wakiwa na gari la serikali.. Njaa, umaskini na ukosefu wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mdogo CHALINZE: Ni Ubabe, mikasa na uhuni mtupu kwa wapinzani

    Uzinduzi wa Kampeni: Pilika pilika za kampeni chalinze zimepamba moto!... CHADEMA ilizindua kampeni tarehe 16 - miono, CCM - 19, CUF 22 na AFP 23 - miembe saba Chalinze. Vyama vyote vimeweka kambi sehemu mbali mbali za jimbo hili.. kila chama kikifanya kampeni kwa staili yake na kuwafikia wapiga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mpaka sasa, Tanzania kuna Ndovu 13,084 tu wakati mwaka 1976 walikuwa 109,419

    Ngoja nisepe!... Nitaambiwa namtuhumu kinana kuua tembo wetu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Hongera CHADEMA, hata wandengereko mmetufikia.. Tunawashukuru.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Wewee acha kumsingizia MUNGU hata pailpo na uzembe... Mtakufa njaa kwa tamaa ya kujitawala. Wazanzibari nyie wabinafsi, wanafiki na tena wasaliti wakubwa... Roho mbaya mliyonayo kwetu lazima iwagharimu..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Muulizeni karume mtoto na mama yake. Serikali mbili ni siri ya familia mbili... Huo mkataba, Seif anataka kuiuza Zanzibar kwa mababu zake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Hapa unaeleweka!... Subirini mfe njaa nyie... Hivi sasa mko milioni 3.. Hivi mkirudi wote si mtauana kugombea ardhi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Nini kinaendelea baada ya hii quotation?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Muungano wa mkataba inawezekana dullyhami na wazanzibari wengine hawaujui... Ndiyo maana huyu jamaa anatema mikwara badala ya kujibu hoja. Muungano wa mkataba ni siri ya Maalimu Seif.
Back
Top Bottom