Wanafanya hivyo kwa makusudi na wala siyo bahati mbaya. Yaani Lissu aseme Magufuri ni dikiteta UCHWARA lkn alitoka salama licha ya yule jamaa kumpania leo hii mtu mwingine aweze kumfunga!
Wanamchelewesha tu ili ionekane bayana kuwa siyo tu kwamba wanasheria wetu huwa wanagalagazwa huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.