Recent content by Mnada wa Mhunze

  1. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vs Samia

    Vipi mkuu za huko ulipoooooo hhhh
  2. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vs Samia

    Vipi mzee bado una muunga mkono mtu muungwana?
  3. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vs Samia

    Vipi mzee uendelee kuachwa na mama yako hahaha
  4. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vs Samia

    Aiseee!
  5. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa Machinga kiwanja na milioni 10 kujenga ofisi

    BANDARI YETU
  6. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Acha upotoshaji kamwe Magufuli asingeweza kumpokea mtawala fila-un kama yule
  7. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Hoja ni wao ama si wao?! Na kwa nini ziara hiyo ilifanywa siri? KWA NINI???????
  8. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Yaani mwarabu anatua na midege apendavyo kwenye rasilimali zetu Watanganyika na kuonyeshwa achague chochote. Kwanini iwe siri na kwanini ziara hiyo haikuwekwa bayana? Je, hilo dege la kivita lilitoka hivihivi bila nyara zetu huko porini? Ee Mungu baba tunusuru waja wako!
  9. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    Vipi mkuu bado hutegemei 😆
  10. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka haziivi na Rais Samia?

    Karamagi hajawahi kumiliki Ticts
  11. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Angetamka mda upi kama alitatizwa mda wote?! Haya, kasema sasa!
Back
Top Bottom