Recent content by mnacho

  1. mnacho

    JamiiForums Tanzania Tengeneza kifaa chako kifanye kiwasiliane na computer

    Mimi ni mwl wa Shule ya msingi hapa Dar. Tunahitaji kutengenezewa database ya shule.je utatusaidiaje mdau
  2. mnacho

    JamiiForums Tanzania Taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya wanafunzi s

    Tumetayarisha computer room na kuweka umeme
  3. mnacho

    JamiiForums Tanzania Taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya wanafunzi s

    Kutunza na kukokotoa taarifa za kitaaluma za wanafunzi. Kuanzia siku ya kuanza darasa la kwanza hadi la saba kuendelea kuitunza kuituza. Pia iwaruhusu washikadau wengine kuangalia maendeleo ya shule kupitia mtandao.
  4. mnacho

    JamiiForums Tanzania Taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya wanafunzi s

    Habari zenu. Mimi ni Mwl wa shule ya msingi ya hapa dar es salaam. Namba kuuliza je kuna shirika au taasisi inayosaidia kutoa compyuta walau used au kutengeneza bure program za database ya wanafunzi kwa shule yetu ya msingi? Atakae weza tafadhali anifate inbox plz.
  5. mnacho

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari na maandamano ya CHADEMA

    Elewa vita havipiganwi ktk mtaa wa amani. Usipende kushuhudia uhalifu au machafuko katka tivii. Amani ikitoweka hutamuona wa kuripoti exept BBC tu.
  6. mnacho

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuflash simu aina zote

    Asante kwa darasa naminataka kuwafundi bora hapa tz
  7. mnacho

    JamiiForums Tanzania Sasa Tunaomba Mwalimu wa Kuflash Modems

    Taja hiyo link to flash moderm zetu
Back
Top Bottom