Recent content by mmtoboaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    Soma vizuri katiba ya ccm toleo la 2007 kurasa za 18,26,97,100,108,110,128,138 utagundu kitu ndo comment ziendelee.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: CHADEMA yaitisha kikao cha dharura cha kamati kuu 6 - 7 Julai 2013.

    Huu udharura ni wa nini? kwanini msiweke tarehe ya vikao vyenu karibu karibu? Kamilisheni mipango tunayokubaliana ili tulikomboe taifa haraka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PART ONE: Chanzo cha Mvutano wa Kisiasa Arusha kati ya CCM & CHADEMA

    Haki itashinda kama ni kweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Makubwa ya CHADEMA kwa Watanzania kwa ujumla

    EPA, KAGODA, BUZWAGI, KIWIRA, MEREMETA nk kazi ya cdm. Afu kuna jinga moja linalopoka nasema (thatha) jinga tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Afu wasira na mwigulu na kikwete ndo wahusika wa vurugu nchini. Kwanini kikwete asmfukuze kazi Mulongo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yanasa mbinu chafu za RC wa Arusha kuwatumia madereva Noah kuandamana

    Tar 14, julai,2013 dhihirisheni mapenzi yenu kwa Chadema. Huyn Mulongo atanyamaza tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Hajitambui na muuaji mkubwa huyo hadi kashiriki mauaji ya ndugu yao (mpiga kura) wake Ndago kwa kukodi vijana toka dar.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Qwiki raka; CHADEMA ni chama makini

    Nyota njema huonekana alfajiri. VIVA CHADEMA
  9. M

    JamiiForums Tanzania NewYork Times: Violent Episodes Grow in Tanzania, an African Haven

    Kwanini hajaongelea rushwa wanazohonga ili washinde? is that free & fair election or corruption based election?
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapendwa jamani

    Ndo maana maccm yanatupiga mabomu kwan wanatishika kuona wa2 wanavyoipenda cdm lkn watashindwa tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM - Nduli Iringa aliyemtishia maisha Mh. Msigwa afariki dunia ghafla

    Alichelewa kutoa kafara ndo maana kasepa. Alitaka awatoe kafara makamanda. Jipangeni kuchukua kata hiyo chadema.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala: Hata waliogomea Bajeti juzi walikula keki na Obama

    Jamaa hili naliona kuwa ----- lililopitiliza.Hata hao watangazaji wanaotoa mwalko hawana akili zakuwaongoza. Kubwa jinga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

    Pols acha kuua raia eti n mwizi. Utapataje mtandao na kuuthibiti ikiwa mnaua mwizi badala ya kumkamata ili afichue siri?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali 'yaimegea' kampuni Nigeria gesi ya Mtwara

    Ujinga, rushwa, ubinafsi na wiz wa maccm vinatutesa. Tunachakula, tunapika, wanapakua wengine wanakula cc tunaosha sahan
Back
Top Bottom