Recent content by MMOJA

  1. M

    Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

    Kivipi sio demotion, wakati Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtumushi wa juu kabisa katika utumishi wa umma na anaripoti kwa Rais, wakati hivi sasa atakuwa anaripoti kwa Katibu Mkuu-Wizara ya Mambo ya nje!!!
  2. M

    Job Opportunity; Insurance Officer

    Insurance Officer Vacant
  3. M

    Job Opportunity; Insurance Officer

    Job Opportunity; Insurance Officer
  4. M

    Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

    Una bahati sana ndugu, anza kumtumia yeye kama connection ya kufika malengo yako, Connection ndio hizo sasa Amka tumia, Haiwezekani darasa zima muwe CFO-Vodacom, lazima utofauti uwepo ndivyo dunia inavyokwenda hivyo
  5. M

    Computer4Sale Laptop inauzwa

    Habari Wadau, Inauzwa laptop yenye ukubwa wa Hard disc 500 GB, Ram 4, Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa +255 676 796168 Ahsante
  6. M

    Fursa ya kujiajiri kwa Vijana

    Habari wana JF, Kuna fursa tunaweza ku ungana kama vijana na tukajiajiri wenyewe(kwa walio serious tu) Nahitaji vijana wasiopunguwa kumi(10) ili tuweze ku ungana na kujiajiri wenyewe Vijana hao wawe na Sifa zifuatazo 1. Sifa ya msingi; Angalau awe na elimu ya shahada ya kwanza 2. Awe ana...
  7. M

    Graphic & Design Officer Intern

    Habari Wadau, Kijana mwenye uwezo wa kufanya Intern ya Graphic and Design Anicheki wakuu, Kuna fursa imejitokeza au atume mail kwa kassa.mwakambaya18@gmail.com Ahsante
  8. M

    Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

    Umejua alipo sasa, ???, Fatilia uwapisho wa Ikulu leo utajua
  9. M

    Accountant and Client Officer anahitajika

    Habari Wadau Anahitajika Accountant and Client Officer(1 Post) Sifa na vigezo vimeambatanishwa kwenye attachment ya post hii Ahsante
  10. M

    Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

    Ahsante kwa kuleta mada hii mezani, Ila imesababisha nijiulize maswali yafuatayo kuhusu Katibu Mkuu Kiongozi 1. Katibu Mkuu Kiongozi kama mtumishi wa umma,.yeye hawezi kuwa na likizo!? 2. Katbu Mkuu Kiongozi huyu kabla ya uteuzi alikuwa ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Na alipata uteuzi...
  11. M

    Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Kateuliwa kuwa Balozi, Balozi ni mtumishi wa umma Pia alikua ni mtumishi mkufunzi aliye katika likizo isiyo na maulipo
Back
Top Bottom