Ahsante kwa kuleta mada hii mezani,Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mh Kusiruka
Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
Ila imesababisha nijiulize maswali yafuatayo kuhusu Katibu Mkuu Kiongozi
1. Katibu Mkuu Kiongozi kama mtumishi wa umma,.yeye hawezi kuwa na likizo!?
2. Katbu Mkuu Kiongozi huyu kabla ya uteuzi alikuwa ni Balozi wa Tanzania nchini Japan,
Na alipata uteuzi ghafla pasipo kutarajia,
Je ni lini baada ya uteuzi ameenda kukabidhi ofisi hiyo ya umma ya Ubalozi??
3. Alikuwa akiishi Japani kikazi, ni lini kaamisha familia na vitu vyake kutoka Japan kuja Tanzania!?
Binafsi sijui yuko wapi, ila nimeuliza maswali hayo!
Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mh Kusiruka
Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.