Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo wewe daima unajua mwenye uwezo wa mambo ya kisheria ni Tundu Lisu tu, nchi hii sijui inakwenda wapi yani vijana wamekuwa wavivu wa kufikiri kwelikweli.
Siku zote ukisikia mtu anakuambia Lowasa fisadi kwanza usipanic muangalie kwanza hata jinsi yalivyo kaa kaa, alivyo vaa yani utabaini tu kwamba ni hajui chochote hata ukimuambia Richmond ninini hajui uliniuliza neno ufisadi linamaana gani hasa hajui mtu mwenye kusoma na kutafuta taarifa lazima...
hivi jamani kuna sentensi yoyote lowasa aliwahi kutangaza wazi kwamba atagombea urais? mbona watu matumbo joto sana ama kweli lowasa ni Jembe hivi siku akitangaza hadharani si tutazika wengi? na nilicho baini wengi wanao mhofia ni wale wanao ogopa mchakamcha wa uwajibikaji na maamuzi magumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.