Recent content by mmjunior

  1. M

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    Mkuu Nyaubwii hii gari bado ipo?
  2. M

    2004 Toyota Wish for Sale

    Wakuu gari bado ipo. Kaka Nyaubwii commission ipo kidogo ukiniletea kichwa. Na bei sasa hivi imepungua sana tu.
  3. M

    Head Projector inahitajika.

    Mkuu ushapata? Offer yako ngapi?
  4. M

    Udalali Wa Magari

    Mkuu ushapata gaia? Iko moja inauzwa 8M namba CAK. Kama unahitaji nikuunganishe na mwenyewe muongee. Pia mimi nauza Toyota Wish kama upo interested icheki https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/428365-2004-toyota-wish-for-sale.html
  5. M

    Natafuta NOAHA ya kununua

    Ipo Toyota Wish ya 2004 haijatumika bongo icheki hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/428365-2004-toyota-wish-for-sale.html
  6. M

    2004 Toyota Wish for Sale

    Mkuu Nyaubwii ukijipanga vizuri mbona unachukua tu ndinga hiyo, na bei inapungua kidogo kama nilivyosema. Kwani wewe ulikua na ngapi mkuu?
  7. M

    2004 Toyota Wish for Sale

    2004 Toyota Wish 63,300 km Pearl White Automatic Transmission 1790 cc 7 Seats (Family Car) All Duties Paid + Registration & Insurance PRICE: 12.7 M or Best Offer CONTACTS: 0713662251
  8. M

    Interview ACB

    Mbona watu tayari wapo kazini we unasubiri interview. Kalagabao
  9. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Naona disco ameingia mmasai duh haya bwana ila ml 6 haitoshi mkuu labda kama unanipa pamoja na mkeo au dadaako tunaweza kuongea kidogo.
  10. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu kwani we offer yako ni kiasi gani? Ndinga haina tatizo lolote usitie shaka kabisa, kuhusu huo mwaka nadhani mkuu Shark ameelezea vizuri.
  11. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Wakuu gari imesimama hiyo. Mashine haijatiwa makono kabisa.
  12. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu asante sana
  13. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu kama kweli hii ni model ya 1994 nadhani kutakua na typing error kwasababu kwenye kadi inaonyesha ni ya 2007
  14. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Hahaahha mkuu ingekua na tatizo ningesema kwa nini nifiche sasa?
  15. M

    2007 Toyota Coaster for sale

    Mkuu kwani we offer yako ni kiasi gani? Maongezi yapo.
Back
Top Bottom