Recent content by Mmelect

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bunge lashauri tozo za Daraja la Mwalimu Nyerere ziangaliwe upya

    Mbona kivukoni ni bei hiyo hiyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri anayehusika tafadhali fuatilia makala hii ya Mtandaoni inayoichafua Tanzania.

    Samahani kwa kuchelewa kutuma link, makala mpya please search This creative device Traps Mosquitos Without Chemicals.html, halafu soma Trendy Gadgetreviews: Protect yourself from the most deadly animal without using harmful chemicals.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri anayehusika tafadhali fuatilia makala hii ya Mtandaoni inayoichafua Tanzania.

    Did you read both of the articles?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri anayehusika tafadhali fuatilia makala hii ya Mtandaoni inayoichafua Tanzania.

    Am trying to upload it fails. The latest article was published in Jan 12 2019 as an edited version of the first published in 2018. This new version published in Daily Life Tech says STOP Tanzania's Biggest Threat From Infecting You...The article portrays TZ as the country that keeps the...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpangaji ndiye anawajibika kumlipa dalali(fedha ya mwezi mmoja) baada ya kupangishwa na si mpangishaji?

    Utaratibu ni kwamba mwenye nyumba anatakiwa kumlipa dalali kwa kuwa huduma ya Malazi ni ya msingi Katika maswala ya haki za binadamu. Nchi nyingi ndivyo inavyotambulika hivyo na wenye nyumba wameelimika vya kutosha. Hata hapa Dar, kuna sehemu madalali hawaombi hela kwa mtafuta nyumba na wenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya RC Makonda kugawa Mtaa kwa Pengo,Sheikh Mohamed Said asema hakuna padre wala askofu aliyepigania Uhuru wa Tanganyika

    Usikumbushie kile Chuo cha Umma Moro maana Ule Ulikuwa unyang'anyi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bundi aingia ndani ya ukumbi wa Bunge leo asubuhi

    Itabidi tuandae kikao ambacho sio rasmi cha wachangiaji humu, nahisi wengi ni comedians, itakuwa burudani ya mwaka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bundi aingia ndani ya ukumbi wa Bunge leo asubuhi

    Very interesting, nimecheka hasa. Bahati mbaya sio mtaalam wa hili eneo, ila tuombe huruma ya mungu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadre na Masista wa Kanisa Katoliki hawaoi/hawaolewi?

    How old are you?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Mada gani hizi mnaziruhusu humu. Yaani ni kushusha hadhi ya taaluma ya nchi nzima.
  11. M

    JamiiForums Tanzania DC Mwanga amtupa mahabasu DED saa 24

    Ya the guy is smart and down to earth sijui wamepishana wapi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema tahadhari iliyotolewa na Marekani kwa Tanzania ni propaganda.

    Niliishi sana huko, nawafahamu watu wa Aina yako. Sitajibu chochote utakacho post. Bye
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hii mikoa, nawapa hongera sana

    :D:D:D
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hii mikoa, nawapa hongera sana

    Nimecheka kwa mara ya kwanza. Ila naomba nitofautiane kidogo au nichangie mawazo yangu. Sijui TFDA wametumia factor gani. Hiyo mikoa inayoongoza inawafanyabiashara wengi hasa wajasiliamali inawezekana kabisa walinunua stock kubwaukilinganisha na wengine. Pili weusi wao ni Ule wa Sudan haukubali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hii mikoa, nawapa hongera sana

    :D:D
Back
Top Bottom