Recent content by Mmeku Tukulu

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

    Ambatanisha na sampuli za barua hizo, msije kuwa mmejiandikia au wakasema mmejiandikia. Mbona tumeshashuhudia barua zikighushiwa na kusambazwa mitandaoni na baadae ofisi husika kuuzikana!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamchoka Mbunge Kiruswa kwa kugongea lifti

    Mhifadhi wa wanyamapori Dr. Kiruswa!!! Kutoka kufanya kazi za kiuhifadhi AWF kuja kwenye siasa najua umepotea njia na nia yako 2020 ni kurudi kwenye kuendeleza uhifadhi, siasa si mahali pako. Nenda kwa Prof. Banyikwa, Prof. Kapuya na Dr. Mlingwa watakupa somo namna gani unavyopotea, wao wana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Akichagua Nyama Ya Porini Wakati Akiendelea Na Ziara Mkoani Katavi

    Kuchoma nyama pori katika Hifadhi ya Taifa hoja kuu si uchomaji, ni je imewindwa huko huko hifadhini? Kwa mujibu wa sheria ya hifadhi za taifa, hakuna uwindaji ndani ya hifadhi za taifa, uwindaji unafanyika katika mapori ya akiba. Ila kwa raisi kuna kibali maalumu (prresidential permit) hapo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Nadhani katika kesi zinazomkabili je? Wadhamini wake itakuwaje, wajuzi wa sheria hebu mtujuze vyema hapo. Wazamini inawezekana kujivua udhamini na mahakama ikatoa amri ya mtuhumiwa kukamatwa au wadhamini watang'ang'aniwa kwa kushirikiana na mtuhumiwa kukwepa mahakama?
  5. M

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda aijia juu TAMISEMI, atishia kuandaa maandamano mpaka Wizarani

    Ukisikia kudharau mamlaka ya Waziri ndio huku. Eti huku hakuna wanayemjua zaidi ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu; na nyumba bovu linamwangukia Mkuu wa Mkoa. Kwa kauli hii Makonda kadharau mamlaka ya Waziri wa TAMISEMI. Tena kaenda mbali zaidi, '....mwambie bosi wako, naibu waziri na waziri...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama; Rais Magufuli amjibu vibaya mwananchi aliyeelezea tatizo la maji jimbo la Momba(CHADEMA)

    Kuna nyaya zimelegea huyu, mara nyingine huwa kama akili zimemruka vile! Ipo siku mtatangaziwa mtu kaamkia ICU kwa maradhi sugu ya kichwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fact Checking: Madai kuwa Dr. Mwele alipewa kazi UN wiki moja baada ya kutumbuliwa siyo ya kweli. Je, aliyemzushia amuombe msamaha?

    La hovyo kupata kutokea!! Liongo, linapenda sifa na liko radhi kufanya lolote baya kwa asiyemsifia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pundamilia wa tofauti mwenye madoa, aliyezaliwa mbuga ya Maasai Mara, Kenya ahamia mbunga ya Serengeti, Tanzania

    Fursa ya kiutafiti hii kwenye masuala ya genetics kujiridhisha ni jambo hili la nadra, pia kwa twiga weupe ambao wameonekana baadhi ya maeneo. Kiuhasilia sio kahamia Tanzania bali yuko kwenye mzunguko wa uhamaji jambo ambalo ni la la kawaida, na bado yupo ndani ya Serengeti-Masai Mara ecosystem...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia mkataba na kampuni ya Kimataifa kulinda haki zake

    Umesema jambo la akili sana. Ni wakati wa Lissu kupambana na maisha yake kwa kutumia akili yake aliyojaliwa na mwenyezi Mungu, siasa si lazima kwake, let him take professional line and get busy with consultancy works, writing books, etc., it will pay for him and put him in recognition and respect.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti Nyeti ya Stiegler’s Gorge Yazinduliwa, Yapangua Hoja Potofu Za UNESCO, WWF Kuhusu Uamuzi wa Rais Dk. Magufuli

    Salehe Pamba anatafuta gear za kupata nafasi ya kugombea ubunge Pangani, hana jipya. Akiwa Wizara ya Maliasili na Utalii mbona alikuwa anakubaliana na tafiti za UNESCO na WWF tena akienda huko kuomba utekelezaji wa miradi mbalimbali? Shame on you Pamba, na kweli ubongo wako pamba tupu!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania TBC: Wamasai na Wahadzabe ni kivutio cha Watalii?

    Kweli Utamaduni ni utalii. Ila kuna kaukakasi fulani huwa napata pale binadamu anapotumika moja kwa moja kama kivutio cha utalii. Yapasa tuende kwa upana wa utamaduni na sio watu. Wakati binadamu wengine wakisonga mbele kimaendeleo kuwachukua wenzetu kama mateka kwa mgongo wa utalii inanipa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na hatma ya jamii ya kimasai washio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro

    We unaona ni utoto sasa subiri uone kinachoenda kutendeka wakati wa kuligawa bonde la NCA, kama hakutakuwa na huo ukanda wa wamaasai!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la bahari la Tanganyika(Tanzania bara) ni lipi?

    Hivi Abedi Karume asili yake wapi? Na wale akina Mwakanyuki? Rulers of Zanzibar are from far way. Wenyeji wa visiwani labda kasa na pomboo (and i mean it).
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na hatma ya jamii ya kimasai washio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro

    Ni ukweli usiopingika kuwa idadi ya wamasai inazidi kuongezeka katika NCA, na la pili haki ya kujipatia maendeleo ni ya msingi kwa wamasai. Uwepo wa makazi ya asili ya kimasai na kuendelea kusisitiza waishi kijadi (eti tunadumisha mila) ni sawa na kudumaza maendeleo ya jamii ya kimasai na hilo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi : Kwanini ndege nyingi za abiria hazina seat Na. 13 ?

    Ni imani iliyojengeka katika jamii nyingi duniani kuwa namba 13 na 17 ni namba zisizo za bahati. The number 13 is not the only unlucky number for some cultures, and airlines have responded to that too. Lufthansa, which is based in Germany, does not have a 13th or 17th row. "The reason is that...
Back
Top Bottom