Recent content by mme wa mtu

  1. mme wa mtu

    Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

    Acha wamkate vibao hata vya matako ilimradi hawamuonei tu.
  2. mme wa mtu

    Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

    Hatukanwi ila mambo na matendo yake ni matusi tosha kwa nchi hii. Watanzania yeye alishawatukana sana lakini wakilalamika anawachapa bakora. Kupiga na kujeruhi wapinzani kisa wanapinga Sera zake mbovu ni matusi makubwa sana kwa wananchi wa nchi hii. Anavunja katiba na sheria na nchi kwa...
  3. mme wa mtu

    Polisi wakiri kumbambikia kesi ya mauaji mfanyabiashara Edward Matiku Nduli

    Kutaka kutoa uhai wa mtu unaona jambo dogo?
  4. mme wa mtu

    Freeman Mbowe: Ndani ya gereza la Segerea kuna ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja, kukosekana kwa mahitaji muhimu na msongamano wa watu

    Nyuzi za kijinga jinga kama hizi zinapaswa tu kuwa comments kwenye nyuzi za watu wengine
  5. mme wa mtu

    Polisi wakiri kumbambikia kesi ya mauaji mfanyabiashara Edward Matiku Nduli

    Duuh kama utani akakaa rumande miaka 2! Na hizo pesa hawakuzipora hao wapuuzi?
  6. mme wa mtu

    Polisi wakiri kumbambikia kesi ya mauaji mfanyabiashara Edward Matiku Nduli

    Alimtendea Lissu unyama vipi mbingu zilifurahi au zilinuna?
  7. mme wa mtu

    The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

    Kwenye sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa ccm huko Singida tar 5/2/2016 alisema atahakikisha anafuta vyama vya upinzani nchini. Kwa hali ya kisiasa nchini kwa sasa haiitaji elimu ya chuo kikuu kulibaini hilo kuwa Magufuli ni adui wa mfumo wa vyama vingi nchini. Ukiangalia hizi chaguzi ndogo...
  8. mme wa mtu

    Bunge lakunwa Kasi ujenzi SGR

    Tanzania kumbe kuna bunge?
  9. mme wa mtu

    Je, ni salama kutuma michango kwa Tundu Lissu kupitia akaunti ya CRDB? Nahisi wenye mamlaka toka juu wanaweza wakaifrizi

    Vyovyote iwavyo tuko pamoja na Lissu binadamu mwenzetu, nyie wehu wanywa damu za watu mtaishia kujaa chuki mioyoni mwenu kama ibilisi
Back
Top Bottom