Ni ukweli kuwa mbeya sasa inavibanda vingi kando kando ya bara bara, hatupaswi kushangaa kwani tumeua viwanda vyote alivoanzisha mwalimu nyerere hivyo vijana wengi hawana ajira, wameeishia kujiajiri wenyewe katika umachinga.
Waacheni wafanye biashara zao kwani mmeshindwa kuwapa ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.