Mambo vipi wanajukwaa la MMU, nimewamiss kwa muda.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuhitaji ushauri kutoka kwenu, jana wakati nipo na mpenzi wangu, simu yake ilipigwa na namba ngeni, sasa katika kusikiliza maongezi ya upande wa pili alikuwa ni mwanamke mwenzake.
Wakaongea kama dakika 1 hivi...