Wanawake wa kinyakyusa hawajui kupika samaki wa mchuzi unakuta anaweka mchuzi mwingi mpaka samaki anafufuka na kuanza kula vitunguu kwenye chungu .......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PALE NETWORK INAPOSUMBUA Alaf Dem Una Mpenda Kupita Maelez Anakwambia Ivi..
GIRL: do u love me
BOY: sana tu!(messege failed)
GIRL:sas c unijbu jaman
Boy:nakupendaa(messege failed)
GIRL:mbn kmya au kiburii
BOY:tatzo mtandao my ndo mana txt azifiki(messege failed)
GIRL:do you lov me ...
Chama cha mapinduzi kimeshinda kwa kishindo kwa asilimia 80% katika Jimbo la Siha, Valerian Juwal amemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dr. Godwin Molel kuwa mshindi katika uchaguzi wa Jimbo hilo uliofanyika February 17, 2018.
Dr. Molel amepata kura 25611 akifuatiwa na Mgombea wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.