mmariii
Member
- Jul 12, 2015
- 71
- 57
Hebu nipe mtizamo wako juu ya matukio yanayoendelea kutokea katika chama cha demokrasia na maendeleo!
Unaona nini?
1. Kuhama hama kwa madiwani na hata wabunge!!
2. Kuhama kwa viongozi wa juu wa chama
3. Kufanya jambo bila kuomba ushauri mfano; mgombea uraisi wa chama kwenda Ikulu na kuleta sintofahamu kwa uongozi wa chama na wananchi ka ujumlaaa
4. ....?
Unaona nini kwenye demokrasia ya Nchi yetu, inakuaa au inakufaa? Nini suluisho la haya? Upinzani umekosea wapi! Nini kifanyikee... Nani wa kulaumiwa?
Tutegemee nini mbeleni juu ya siasa za kwetu? Je wanaohama vyama ni kweli kua wanavutiwa na utendaji wa vyama wanavyohamia au ni USAJILI kama inavyosemwa? Kama kijana, mwananchi au mzalendo wa nchi hii hebu tupia mawazo yako hapaaa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]