Recent content by mmakondehuru

  1. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

    Huko nmb na hizo zinajiita bank ndo balaa, nilishakopa million 9 narudisha mil 21
  2. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Sikushauri uoe mwanamke alibadilisha dini kisa ndoa ,kuna mwana kitaa alitaka kujinyonga.
  3. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anatoka nje akiwa kavaa boksa tu (nguo ya ndani )

    Angalia familia yako mzee, hapo mjini wapo mpaka wanaume wanajiuza
  4. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliooa, nini tufanye maana hii kasi ya usaliti inatia shaka?

    Halafu unakuta mpunbavu mmoja anaoa wanawake zaidi ya mmoja ,tutakuchapia tu
  5. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio

    Sijasikia mitaa ya kiwalani mzee
  6. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa kampuni ya bayport financial services

    Mama Anna mkapa huyo
  7. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Nina fine ya gari tangu mwaka Jana 2018 sijailipa

    Ahsante kwa ufafanuzi
  8. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Nina fine ya gari tangu mwaka Jana 2018 sijailipa

    Kwann easy?
  9. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Nina fine ya gari tangu mwaka Jana 2018 sijailipa

    Ahsante Mkuu nimefanikiwa barikiwa sana
  10. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Nina fine ya gari tangu mwaka Jana 2018 sijailipa

    Habar wanajamii, Nina fine ya gar tangu mwaka Jana 2018 sijailipa , nawezaje kujua bili yangu kwa kutumia mitandao ya Simu za mkononi?
  11. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Natafuta tairi za magari kwa bei nafuu

    Habar wakuu , Naomba msaada wapi nitapata tyre za gari kwa bei nafuu na yenye ubora
  12. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    Eti rombo!!??? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mmakondehuru

    JamiiForums Tanzania Agizo la Waziri Mkuu: Wafanyabiashara watatu wakamatwa kwa kuficha mafuta ya kula mjini Songea

    Mafuta ya kula nayo yanamtoa jasho pm? Kweli serikali ina safari ndefu
Back
Top Bottom