Recent content by MMADANGA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Faida na tiba za kiafya ya kufanya/kujamiana mapenzi !

    Asante kwa mada yako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa uongozi wa mabasi ya RATCO

    Kwa Rahaleo mwanangu tupo pamoja! itaendelea juu kwa uaminifu wao! HONGERA RAHALEO.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya pembe za ndovu

    Kama mtu hafahamu matumizi ya meno ya tembo ni bora anyamaze kuliko kumpa muuliza swali majibu yasiyofaa na kukatisha tamaa, kwani naamini ni watu wengi wanahitaji majibu sahihi ya swali hilo. Mwenye majibu sahihi alete wana jamvi wafaidike!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya huyu mgeni,mana amebadili nyumba yangu

    Hii sio kazi ya Great Thinkers!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufumbuzi wa tatizo hili.

    Rudi kwa daktari aliekushauri kutumia dawa zile za awali, mueleze shida yako, kama tatizo litaendelea, tafuta daktari mwingine maana wanazidiana ujuzi na uzoefu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mti wa Ajabu

    Hao ni wadudu fulani ambao hukaa vikundi vidogovidogo juu miti mbalimbali, fanya uchunguzi wa kina utagundua hilo, hakuna maajabu yoyote hapo. Kwa sisi tuliokulia vijijini wadudu hao wanaishi hata kwenye miti ya mihogo wakati wa jua kali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii inshu ni yakweli au natapeliwa???

    Don't dare!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Express music nokia web setings

    Thank you for u'r educative lesson!
Back
Top Bottom