Mungu ni mwingi wa huruma na neema. Hubatilisha nia mbaya na huinua zilizo njema. Bila kujali uchama au ubaguzi wa aina yoyote, Ndungai na wenzake wameonyesha nia mbaya sana katika suala zima la matibabu ya Lissu.
"Southern Consult and Agro-Products Company (T) Ltd (SCAP) ni kampuni ya kizalendo inayojishughulisha na biashara mbalimbali za ushauri wa kitaalam wa uendeshaji miradi ya maendeleo (project management), tathmini ya miradi, uchakataji mazao ya kilimo (agro processing), uimarishaji wa taasisi za...
Ndo shida ya kuwa na viongozi wasiojiandaa kujibu hoja za msingi zinazogusa maisha ya wananchi...hivi inaingia akilini mkulima amevuna tani 5-10 za mbaazi unamwambia zina protini ya kutosha atumie kama chakula? Hizo super market anazozizungumzia ameshafanya uchambuzi wa 'absorption capacity" ya...
kwahiyo mtoa mada ulisubiri watoe waraka ndo ujue wajibu wao ni pamoja na kukemea maovu mengine? Tusikwepe majukumu. Kama waraka umekugusa chukua hatua
Nafikiri muwasilishaji umeminywa na taswira ya woga..lazima ifikie mahali tukubali kusema wazi vinginevyo wengi hawataelewa. Kumbuka asilimia kubwa ya Watz hawawezi kutafsiri hizo filosofia.
Namshauri mkuu aangalie hii kauli yake kwa mapana zaidi halafu atwambie ni nani wanatishia usalama wa taifa. Hata hivyo nampongeza sana angalau kwa kuonyesha kuwa anafuatilia hali ya nchi kwa sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.